Majee.. Majii... Majiizo.. DJ Majiizo wale wakongwe wenzangu watakubaliana na mimi enzi hizo Magic FM jamaa alikua anakimbiza balaa na scratch zake za hatari
Miaka mingi imepita I think less than ten years nakuja kusikia mchizi ana miliki kituo cha radio kutahamaki kituo cha Televisheni hiki hapa sitaki ku sound kama mchawi hapa ila ni vizuri umma tukajua source ya utajiri huu je ni personal equity ama ni debt from financial institution.
Mara kwa mara Mange Kimambi kupitia kwenye page yake ya Instagram amekua akimtuhumu Majizzo na biashara flani flani hivi.
It is high time Majizzo to come out and inform the public source of his wealth...