Recent content by Kulama

  1. Kulama

    JamiiForums Tanzania Na mpango wa kuwashitaki Tigo Tanzania

    Nakiri namba zinazotumika kukutumia sms hizo, kisha wapigie Tigo na uwaambie tatizo hilo. Wao ndio watakusaifia kuziblock. Njia nyingine, wakikutumia sms block wewe mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kulama

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kusafiri magari ya magazeti usiku tuje tujikumbushie hapa.

    Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu, imenibidi nicheke kwa sauti ndani ya basi[emoji23]
  3. Kulama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaolala na wenza wenu; Hivi zile siku ambazo mwenza wako yuko period ukijisikia hamu unafanyaje?

    Imenibidi nicheke tu japo taifa lipo kwenye majonzi. Sijui umewaza nini kujibu hivyo.
  4. Kulama

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Hakika nimevutiwa na maelezo yako kuhusu huyo nyoka kifutu kutoa sauti umsogeleapo. Umenikumbusha nilipoemushwa na Mungu kutoka kwenye kifo na hatari ya nyoka huyo. Nikiwa mdogo sana mkoa fulani hivi, nikiwa nimeinama kwenye shamba la mpunga uliokuwa katika hatua za kung'olea, sikuwa na hili...
  5. Kulama

    JamiiForums Tanzania Ji ukweli kuwa kuna Viumbe wa Ajabu wataiangamiza Dunia?

    Katika riwaya hii ya kusisimua ya THE DOOMSDAY CONSPIRACY, mwandishi Sidney Sheldon anatujuza kuwa Shirika la Ushushushu linalohusika kunasa mawasiliano la Marekani(NSA) linahaha kuhakikisha linawafahamu na kuwaangamiza watu wote walioshuhudia viumbe vya ajabu(aliens) au ( Unidentified Flying...
  6. Kulama

    JamiiForums Tanzania Ninazipataje ripoti za kiuchumi za kuanzia mwezi wa saba hadi nane kutoka BoT

    Wacha nicheke mie!!
  7. Kulama

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Spika amepokea na kufanya uamuzi kwa supersonic speed akiwa nje ya nchi!

    Baada ya Ofisi ya Spika kuridhia uamuzi wa Chama cha Wananchi (CUF) kupitia mwenyekiti wake Prof. Ibrahim Lipumba, kuwavua uanachama wabunge nane wa chama hicho na kupokwa ubunge wao na kutangazwa kwa majina nane yaliyotangazwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi, msikie katibu mkuu Maalim Seif...
  8. Kulama

    JamiiForums Tanzania Wabeba mabango Tabora wamkera Rais Magufuli

    Ulisikia kauli hii ya Magufuli dhidi ya waliobeba mabango mjini Tabora? Ingia kwenye link hii >>>>
  9. Kulama

    JamiiForums Tanzania AZAM TWO - HABARI JUMATATU 24. 07 . 2017

    Pata taarifa ya habari ya Azam Two ya Julai 24, 2017, iliyosheheni habari zifuatazo: Magufuli asema hatojali itikadi za kisiasa, Tanzania na Kenya zaondoa vikwazo vya kibiashara naTundu Lissu akosa dhamana, arudishwa rumande. Fuata link hii>>>
  10. Kulama

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kuhuzunisha kubakwa kwa binti wa miaka 17 mkoani Lindi

    Watu wawili waliyojitambulisha kuwa ni waganga wa jadi wanadaiwa kumbaka binti wa miaka 17, huko mkoani Lindi na kutoweka, wazazi wa binti huyo wanaomba kubaini sababu ya kitendo hicho. Tazama video hapa>>>>
  11. Kulama

    JamiiForums Tanzania Tigo mtandao pekee unaotuma SMS ya kawaida leo inafika kesho

    Babu mtandao wenyewe unaitwa tigo, jina tu linasadifu haya wafanyayo
  12. Kulama

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kikwete vs Uchumi wa Magufuli

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  13. Kulama

    JamiiForums Tanzania Prof. J na Nick wa II wampinga Mwakyembe

    Sio certificate, ana diploma ya uandishi
  14. Kulama

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

    Baadhi ya wana JF, wanamihemko ya kisiasa. Hawaridhishwi na kila jambo. Nape amezungumza kama mwanasiasa na si kama mwana-CCM, au mtu aliyeondolewa uwaziri. Ana haki ya kutoa mawazo yake binafsi
  15. Kulama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aandaliwe kwa heshima na ustarabu wa hali ya juu.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom