Mnaolala na wenza wenu; Hivi zile siku ambazo mwenza wako yuko period ukijisikia hamu unafanyaje?

Hivi shule mnafungua lini, navyohisi umeona mama anaenda kununua ped, ukaanza muwazia hivi baba anafanyagaje ukamua kuja kutuuliza

Kuwa uoe utajua
 
Jana wakati nipo gheto mida ya night mpenz wangu alinipigia simu kwamba anahitaji nikalale kwake .

Kwa kuwa yeye ndie aliyekuwa na huitaji basi nikajikoki mwenyewe mpaka kwake baada ya story za hapa na pale nikajilia zangu tunda ,

Sasa nimemaliza round ya kwanza wakati tumepumzika mpenzi wangu gafra tumbo likawa limeanza kumuuma,

Kumuuliza vipi akanijibu kwamba ni kama tumbo la period limeanza kumdadisi kwa nini asingeniambia mapema kama anakaribia period akanijibu tu kwamba ata yeye hakutegemea kwani ana gape kama la siku Nne mbele ndio aingie kwenye siku zake.

Ofcource nilishindwa kuendelea tena na game kwa sababu ya hiyo emergence.

Lakini sikuweza kupata usingizi kabisa usiku huo wa kuamkia leo kwa sababu alikuwa ameshaniwasha na gari likawaka kimoja kilikuwa kama ni salamu tu .

Hapo nilipo misuli inauma nashindwa kumuomba tena game mpaka amalize hizo day zake.

Hivyo nawauliza wakwale wenzangu huwa mnafanya fanyaje pale wenza wenu wanapokuwa kwenye hali hii na wewe una hamu ya kutosha.
Ukisikia hamu unavumilia,kile sio chakula mpaka ukikosa upate shida. Wajinga na watovu wa adabu ndio huwa wanang'ang'ania.

Ile damu ya hedhi ni uchafu. Kiimani ni makosa kifanya jimai na mkeo akiwa katika masiki yake.

Kadhalika huwa wanasema kiafya ni jambo baya kwa wataalamu wa mambo hayo,japokuwa sijathibitisha hilo.

Lililo bora mzee ni kuvumilia,sisi tumekuwa wanaume pia kwa sifa ya kujizuia na mambo yenye kuleta madhara.

Asante sana.
 
41342548_243331733191922_4614304336045661987_n.jpg

HUYU NDIYE MPENZI WA MTOA MAADA AMBAYE YUKO PERIOD..........
 
Back
Top Bottom