Mwanamke aandaliwe kwa heshima na ustarabu wa hali ya juu.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Kabla ya kusex na mwanamke lazima aandaliwe kwanza tena kwa heshima na ustarabu wa hali ya juu. Sex ni hisia siyo ya kupanga leo tunasex au kesho tutasex amini usiamini sex hiyo inaboa sana tena haina mvuto utamu wa sex mwanamke aletwe kwenye uringo huu siyo sababu unapenda usex naye ila kwasababu anataka aingiliwe kwa namna na gharama yeyote.

Kitanda lazima kiwe safi mda wote kimetandikwa na shuka nzuri za kuvutia mda wote wa maisha yenu, kazi hii ya kutandika kitanda isiwe na mwenyewe awe mwanaume au mwanamke kutandika kitanda inawahusu. Kwa wale wenye wake au wapenzi wanaojua kutumia kochi vizuri lazima chumba cha kulala kiwe na kochi japo la watu wawili, hili kochi mara nyingi matumizi yake ni sex tu wala si la kukalia linakuwa chimbani nalo lazima mda wote liwe safi. Usiruhusu vumbi au harufu mbaya chumbani hata mara moja.

Mwanamke hisia zake zipo mbali ukilala naye, au ukikaa naye uwe unamchezea mara kwa mara si kwa lengo la kusex uwe tu na tabia ya kumshikashika hata siku unataka kusex naya hatakiwi kujua kwamba unamshika ilo usex naye. Tofauti ni kwamba siku ukitaka kusex naye anajikuta unashikwa mda mrefu mwilini mpk sehemu zingine hazifai kutaja hapa, mke awe anapewa denda mara kwa mara hata kama hamsex hata siku ukitaka kusex ukimpa ulimi aone ni jambo la kawaida tofauti siku hiyo ulimi hautoki mdomoni harakam

Mwanamke achezewe mpk yeye aombe kuingiliwa, mwanamme ikifikia hatua ringa bwana, mdudu si wako mpk akubake mwenyewe hapo mwanamke ataona umemtendea vizuri.

Maandalizi ya mwanamke yaambatane na heshima ya hali ya juu kwanza kuthamini roho nzuri ya mwanamke kukubali kwa roho nyepesi na furaha umvue nguo zake na kubaki uchi kabisa. Jiulize kuna wavulana wangapi katika dunia hii wanapenda heshima hiyo wangeipata wao lakini imekuja kwako.

Pili heshima kubwa ni ile radha tamu na adimu utakayoipata pale mpenzi wako atakapoanza kuonesha maujuzi ili ujipatia raha isiyo na kifani. Usimkere mpenzi wakati unamwandaa hata kama kasema kitu ambacho hakijakufurahisha.

Mwanamke mda wowote na saa yeyote yupo tayari kusex na mpenzi wake kitu muhimu ni maandalizi yenye tija mwanamke anaandaliwa katika hali ya upole wa hali ya juu, neno pole, samahani, mpenzi, mrembo vitawale kipindi hicho.

Usipange tarehe au siku ya kufanya sex na mpenzi wako, sex haina saa, siku, mwezi wala mwaka. Sex ni maandalizi yenye kuleta tija. MWANDAE VEMA MPENZI WAKO UPATE PENZI TAMU
 
Unatuletea mambo ya kwenye makaratasi hapa,wanawake wenyewe wa kuwachezea hlf uwaache bila kuwagonga wako wapi,utamchezea unamuacha hivyo lijamaa lingine linakamata na kugegeda kinyama
 
Juzi kitu nilichofanyiwa na kigori mmoja, sitakaa nishindane na nilikotokea..! !
Ijumaa hii nikapaata bahati ya kigori mmoja, nikajua huyu nitamnyoosha duuh nimejikuta mimi ndiyo nimenyooshwa hawa viumbe hawasikii kitu huko down niliomba kukuche faster maana . Sitakaa nihangaike kumridhisha mwanamke kila mtu atajijua hapa tumbo linauma kinoma.
Nini kilikupata mkuu? Tupe japo kwa ufupi!!
 
Ngumu sana kufuata hayo yote...

Sex ina depend na mood ya wakati huo... Haina kusema lazima, uanzie kichwani au miguuni... Akimgusa atakapo sisimuka ndiyo kazi huanzia hapo hapo... Na mengine hufuata taratibu...

Cc: mahondaw
 
Ndo system yangu,yani kama sitaingiza vile nacheza naye tu.
Mpaka yeye mwenyewe atalalamika na kutupa chupi kuleeee "bwanaaa aaaaa nifanye"
 
Suala la mapenzi siyo kama muvi za kihindi au hadithi za mahaba. Suala hili linahitaji utulivu wa akili mengine yanaendelea yenyewe .
 
Juzi kitu nilichofanyiwa na kigori mmoja, sitakaa nishindane na nilikotokea..! !
Ijumaa hii nikapaata bahati ya kigori mmoja, nikajua huyu nitamnyoosha duuh nimejikuta mimi ndiyo nimenyooshwa hawa viumbe hawasikii kitu huko down niliomba kukuche faster maana . Sitakaa nihangaike kumridhisha mwanamke kila mtu atajijua hapa tumbo linauma kinoma.
Avatar ya kibabe hiyo..
 
Inategemea,mwingine akiona hela tu analowana huko chini na panatetemeka kabisa, haina haja ya ulimi wala kushikwa shikwa.
 
Back
Top Bottom