Kwa mujibu wa waziri inaamaanisha Mpoto hana mafanikio yoyoteMwakyembe nafikiri hata jina la brendface hajawai kulisikia?au pengine hajui nyimbo la luck dube
Nywele zake zilinyolewa kipara na dawa za kizungu ndo manaMwakyembe kila anenalo ni pumba tupu,afadhali na Baba Bashite tena
Kasema hajaribiwi heéeeee hekKama aliyempa kazi anakesha kufuatilia SHILAWADU i.e Shirika la Wambea Duniani unategemea nini? He is a perfect match to the bosi
Anajitoa ufahamu tuu si kwamba hajui kazi ya sanaa ni nini.huyo jose kamilioni aliye mtaja zipo nyimbo alizoimba kukosoa serikali.Mwakyembe hajui hata tone la muziki. Anasema hakuna mwanamuziki mkubwa alifanikiwa kwa kukosoa serikali! Yaani atakuwa hamjui hata bob marley the ever living legend! ambaye alifariki tarehe kama ya leo mwaka 1981 na mpaka leo hakuna msanii wa reggae anaweza kujifananisha naye. Bob mara zote alikuwa anakosoa serikali nyimbo kama Babylon system, stiff necked fools, crisis, who the cap fit, crazy bald head, war, yaani almost zote tu anakosoa serikali na mfumo wake mbovu.
Culture, burning spear, Lucky Dube. Tupac, scarface, wanamuziki wa South karibu wote walikuwa wanapingana na serikali kipindi cha ubaguzi na walifanikiwa sana tu. nyimbo kama we miss you manelo (walimaanisha Mandela), freedom is coming tomorrow na nyingine nyingi nyingi....
Ni DORMANT Journalist...Kwa kuingia kwenye siasa ameanza kuwa DORMANT Lawyer.....Kitambo asha kuwa DORMANT Lecturer..Ana certificate ya UANDISHII
....Alishaikana PhD yake hadharani..........PhD holder hawezi kutoa matamko kama hayo ubongo ukiwa active
Sio certificate, ana diploma ya uandishiAna certificate ya UANDISHII