Recent content by KPS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu yatoa sarafu yenye thamani ya shilingi 50,000 kuenzi Mapinduzi ya Zanzibar!

    Wewe muwe makini na kuelewa, sio noti ni sarafu, au hujui tofauti ya sarafu na noti?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    je kuna tetesi zozote kuhusu mtu kukamatwa juu ya suala hilo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zang, Anti-Virus ipi ni bora na inayofanya kazi vizur..

    Tumia Kingsoft PC Doctor ni mzuri na haina gharama yoyote ile. Uki install 2, ni wewe 2 na mambo yako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mwenzenu, napenda sana sifa

    Tatizo wida ndio inayokusumbua huimudu, hivyo basi achananayo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani : Kwa wale waliohitimu kidato cha 6 kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma.

    Usijali mkubwa, tutakushtua tu. Wazo zuri :argue:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa lamuandalia tuzo Lowassa

    Nivizuri kutambua michango ya wadau mbalimbali katika kutatua matatizo ya jamii zetu nakupongeza sana kwa wazo hilo zuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    Tunapozungumzia masuala mazito yanayohusu amani ya nchi watu wengi hukimbilia kuangalia dini kubwa kwangu mimi ninamtizamo tofauti na huo wako ila ninachokiona Pengo amesisitiza kwamba uwepo utawala wa sheria ambao utatoa haki bila kupendelea dini maana wananchi wanazo dini zao lakini nchi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Unazijua sababu/ kosa lingine wanalomshikilia? Usipende kuingilia vitu usivyovijua
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume India wameingiwa na nini??????

    Du! Pole sana, ulizoea mambo ya kibongo popote utakapoenda mkoa wowote ule lazima utapata chachandu. Waafrika tumeshafanya hayo mambo ni kama sehemu ya chakula kwamba kila siku lazima ule.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tuna uza mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu

    Watu wa Mwanza tutayapataje hayo mafuta? naona umeonyesha mikoa yanakopatikana ni Dar na Dodoma, mimi binafsi nayahitaji.Na kwa hilo dumu la lita tano unauza kwa shilingi ngapi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

    Vp sekondari ya kutwa Mangaka iliyopo Mtwara wilaya mpya ya Nanyumbu ipo hapo hapo wilayani unaweza kwenda?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Matokeo ya uchaguzi wa Kenya nani anaeongoza kwa kuwa na kura nyingi?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba.!b-)

    Mzima wewe! Mchumba au Mke hatafutwi kwenye mtandao, atakuzingua tu, mnaweza mkakubaliana kabla hamjaonana siku mkionana au kuoana mkaja kugundua mapungufu ambayo utashindwa kuyavumilia. Nakushauri, jaribu kujichanganya sehem mbalimbali kama kwenye michozo unaweza ukapata mchumba/mke mzuri tu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

    Du! Ama kweli, Morinho ni funga kaz, na hyo ndio dawa kwa man u,maneno sana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

    Madrid hana mpinzani, iko juu
Back
Top Bottom