Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,716
- 3,678
baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
Safi sana.
baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
Du! Ama kweli, Morinho ni funga kaz, na hyo ndio dawa kwa man u,maneno sanabaada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
hatuongei sana...anayefahamu mpira na kuangalia leo anajua cha kusema....Viva Man U..
mkuu umesahau maneno hapo juu!!...jose morinho kushirikiana na refa...baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
Baki nayo mwenyewe...
Yule ni Sir. Hapa Duniani wako wawili tu yeye na partner wake Sir Elton John...
Jana Marefa United ilikuwa ifanywe ile kitu Simba alifanywa na Libolo, basi tu Ronaldo alikuwa anajipendekeza.
Luis Nyani alifanya jambo la kijinga kabisa. Baada ya ule mguu kutua mbavuni, aliongezea kwa ku-push kidogo na hapo ndio lengo lake likadhihirika.
Kwa upande mwingine, RvP hafungagi kwenye big match. Yule anawafunga Norwich, West Ham na Aston Villa, akiwekwa na manguli anakuwa mdogo tu kama pimbi.
hata mourinho mwenyewe amekiri kuwa walikuwa na bahati na wala sio kwamba walistahili kushinda...refaree spoiled everything thats all. LIVE LONG MAN UTD.