vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 599
Salamu watanzania. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo halmashauri ya mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji.Nahitaji mwalimu kutoka Arusha, Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga, Mtwara au Iringa ili tubadilishane vituo. Mawasiliano yangu 0774 205159. Nawasilisha.