Recent content by Kowero Fredy

  1. K

    Mbao za Mninga na Mpodo

    mfanyabiashara wewe uko wap sasa
  2. K

    Mnyika mbona kimya?:Safari ya kifisadi Kigali.

    Mwanangu me hata mkono nakuunga.i ndo tatizo ya kuwa na viongoz ambao na wao wanashida pesa hawana.asipopewa na fungu na serikal basi na yeye chali.angalia kwa lowasa na kwa Nimrold mkono.pesa ipo kule
  3. K

    Polisi wafanya unyama mpya mgodini Nyamongo

    There is no police right to kill unles otherwise jaman wa anzania
  4. K

    nssf na ppf kukopesha wanachama

    aisee kama ataweka pesa yake kama dhamana ya mkopo anaouitaji mimi na dhan huo sio mpkopo
  5. K

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Of course no mata what is tha source of information huyo mama lazima anaijua serikali na wiz wake haitusaidii sana kuhoj alikuwa wapi siku zote kutuambia hayo,ila inatusaidia sana kama akiyasema na yakifanyiwa kazi.so let her talk and go
  6. K

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    Achen ujinga vijana kwa wazee.mbona mnang'ang'ania vyama na kusahau chama ni kama kokoro tu.kinaweza beba watu wazur na wabaya pia.ebu waache wao watupiane majungu.shida yetu wafanye kazi.ivi unaweza ukaacha kumpa maguful kaz et kwa sababu kaitukana chadema? U WIL BE MAD AISEE
  7. K

    Lowassa na Kiingereza chake!

    We ndugu huna hata aibu unataka rais wa nch ajue kiingereza kwan lazima.shame upon you
  8. K

    Judging Gaddafi with open mind!!!

    Kama swal lenyewe ndo ilo tu ndugu halitosh kunifanya mim nisisikitike juu ya kifo cha Gadaf mana mazur aliyofanya yanafunika ilo mara kumi.hakuna kiongoz mwenye mazur tu mjomba.wake up!
  9. K

    Jamani swali

    Kwa wale wanao amin kuwa Kuna Mungu,na Mungu ameumba upendo.swal langu ni ivi,unapomfuata binti au kijana wa kiume na kumwambia unampenda,unamanisha unampenda kwa upendo ule ule ambao Mungu aliuweka ndan yako? Au kuna aina nyingine ya upendo unauzungumza hapo.nauliza ivi kwa sababu kama kwel...
  10. K

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Ni vigumu sana kwa aliyeshiba kumkumbuka mwenye njaa waliweza kina nyerere na sokoine tu.si katika ichi kizazi kinachotumikia matumbo yao binafsi
  11. K

    Mahakama Kuu ya Tanzania yaamuru DOWANS kulipwa!

    Hi ndo Tanzania ya sasa inayopingana na Tanzania ya Zaman
  12. K

    Kama hii ni Tanzania; Basi tumelaaniwa, na aliyetulaani kafa

    I stil believe brotherz kwamba hakuna kisicho na mwisho.mana kila nikifikiria nafikir kama ntachanganyikiwa.IN GOD I TRUST THAT ALL THIS WIL COME TO END
  13. K

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Hawa jamaa bado hawajajua ni nin kinaendelea uku chin walipo wananchi.kama wanajua shingo zao ni ngumu lazima zitajavunjika tu.but nataka watu wajiulize maswal haya.KWA NINI WAZANZIBAR HAWATAKI MUUNGANO,NA KWA NIN VIONGOZ WA TANGANYIKA WANAUTAKA UONGOZ KWA NGUVU ZOTE.SOMETHING MUST BE WRONG SOME...
  14. K

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    The main reason 4 attacking libya.they say is lacking of freedom for people of libya to expres their views.also oppression to oposition leaderz
  15. K

    Mbunge, CCM imetelekeza familia ya Mwl JK Nyerere

    Mgodi si muhimu kuliko watu wa musoma.fikir vizur mtu mzima wewe
Back
Top Bottom