Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

mwizi hawezi kutaja wezi wenzie kabla hajakosana nao ama kwa kumdhulumu mgawo au kwa kumtoa kwenye kundi ambalo hata yeye anali-appreciate ya kuwa kundi hili alilonalo anafaidi kwa vile wana dili nyingi.Kilichotokea hapa ni sawa na mfano huu,asingeweza kusema wezi wenzie ila kwa sasa kwa kuwa wameshindwa kumnusuru na tayari wamemsema vibaya before public naye ameona dawa ni kuwataja,mimi hapo naona ni patamu sana maana tutawajua wengi,mwacheni ataje tu maana hata utata wa Richmond na Kikwete uliiisha pale E Lowasa aliposema alikuwa anajua jambo hilo mkuu wa kaya,lakini wametajana baada ya huyu EL kuona amedhulumiwa haki ya kufichuwa siri na mafisadi wenzie na kisha kuweka hadharani,huyu nae tumwacheni aseme,kwetu kuna advantage
 
Blandina, wamemwaga ugali wewe mwaga mboga tukupate vizuri kama wao tulivyowapata. Kumbe mnafahamiana maovu yenu na madharau????Ungama yako, weka mambo yao hadharani basi tukusaidie ili siku ukiondoka duniani uwe na kitu umefanya kwa manufaa ya taifa nasi tutakuombea usamehewe kwani hukuwa unajua uliyokuwa ukiyatenga. Sikuju kwamba ulikuwa jalala la uchafu wao. Tupe mistari mama!!!!
 
Taifa la wa chafu hili ndio vizuri waanikane ili end of a day 2015 wapinzani tuzame ikulu......CcMfsd imesabanisha hadi RAIA wa kawaida tu bongo akipata nafasi basi la kwanza anachofikiria Ni ataiba vp!! Jamani! Imetosha.....weziiiiiii hawa wote weziiiiiii!!
 
Taarifa kutoka chanzo cha karibu na Blandina Nyoni zinasema Kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa wizara ya Afya amesema anasiri nzito ya vigogo mafisidi wote wa nchi hii waliokwapua fedha hazina kupitia miradi na project feki katika kipindi chote alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, amefunguka na kusema nchi hakuna kiongozi msafi kama kuchafuana tutachufuana wote na kama jela itajaa Viongozi wa juu wa serikali wasasa na wastaafu.

Taarifa zinasema amekasirishwa na Kauli za pinda na Mpambe wake Ghasia ambaye anakashifa za kutosha pale utumishi juu ya mishahara na project mabalimbali; Amewataka watanzania wakae mkao wa kupata waporaji wakubwa wa mali ya umma

Mwaga mama, an eye for an eye!
 
Of course no mata what is tha source of information huyo mama lazima anaijua serikali na wiz wake haitusaidii sana kuhoj alikuwa wapi siku zote kutuambia hayo,ila inatusaidia sana kama akiyasema na yakifanyiwa kazi.so let her talk and go
 
Hawezi sema hatakama anawajua waliokula.Anatambua kabla ya kusema atakuwawameshambilali. HAA! HAA! MKUU HUYU WATAMCHACHA WANGWE@
 
sema mama usiogope. WAMEWAGA MGOGA NA WEWE SASA MWAGA UGALI. TUNATAKA KUJUA UKWELI HALISI KWANINI NCHI HII NI MASKINI KIASI HIKI. KUMBE WATU WANACHOTA TU. CHONDE CHONDE SEMA TU MAMA USIOGOPE WAOKOE WATANZANIA KWA KUSEMA UKWELI. TUNATAKA KUJUA UKWELI HATA KAMA UMECHELEWA KUUTOA.
 
Kama taarifa katika uzi huo hapo juu ni sahihi na kweli, basi bibie ana kesi pia ya jinai kuhusu kufahamu vitendo viovu na kunyamazia kutolea taarifa kwa vyombo vya dola kwa hatua za kuwakamata watenda maovu hayo anayodai ana siri za vigogo hao. Asubiri kujibu mashtaka dhidi yake ya kijinai na kinidhamu.

imwan
 
Taarifa kutoka chanzo cha karibu na Blandina Nyoni zinasema Kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa wizara ya Afya amesema anasiri nzito ya vigogo mafisidi wote wa nchi hii waliokwapua fedha hazina kupitia miradi na project feki katika kipindi chote alipokuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, amefunguka na kusema nchi hakuna kiongozi msafi kama kuchafuana tutachufuana wote na kama jela itajaa Viongozi wa juu wa serikali wasasa na wastaafu.

Taarifa zinasema amekasirishwa na Kauli za pinda na Mpambe wake Ghasia ambaye anakashifa za kutosha pale utumishi juu ya mishahara na project mabalimbali; Amewataka watanzania wakae mkao wa kupata waporaji wakubwa wa mali ya umma

Kama ni kweli she is going to be mwakyembelised soon!!!!
 
... anadaiwa kuwa na tuhuma 18 zikiwamo za kujinufaisha mwenyewe, za upendeleo kwa watu wake, na zinazoingilia masuala ya zabuni kinyume cha taratibu.
Subiri zianikwe hizo tuhuma kwanza ndo azijibu na amwage huo upupu.
 
kwa nini hakuyasema hayo tangu awali... anakumbuka shuka wakati kumekucha? anyway, amwage hizo siri basi kama kweli anazo ili zifanyiwe kazi

Mila za kiafrika zinatufundisha kuwa wakati wa kula hutakiwi UONGEE sasahivi hali ataanza kuongea
 
Huyu Blandina Nyoni atabakia kuwa mwizi na kama ingekuwa kule china angekuwa amesha nyongwa! IDIOT MKUBWA HUYU
 
Nyoni hakusimamishwa kazi.Pinda hana wala hakuwa na mamlaka ya kumsimamisha kazi Nyoni.Tumepigwa changa la macho hapa.Kwani Nyoni hakuteuliwa na Rais?
 
Back
Top Bottom