.......... Tunazo mbao za MNINGA NA MPODO bei Tshs. 44,000/= kwa moja urefu futi 10...... anayehitaji nyingi usafiri bure kwa maeneo ya Dar kama unahitaji tafadhali fanya PM
urefu futi 10 upana___________?
mbona bei yako ipo juu sana? mimi nilijua utauza 18000/= maana ndo bei ya huku kwetu
mfanyabiashara wewe uko wap sasa
Na ujazo haujazungumzia, maana unapokuwa unauza mbao ni Upana x Kima x Urefu ili mtu ajue kwa ujazo ni bei gani: Mfano Mbao ya 10" x 2" x 1' (Upana ni nchi 10 x kima ni nchi 2 x urefu wa futi 1) = TZS 4,400 maana yake hapo kati yaani kima kikipungua kikawa ni nchi 1 na bei kwa futi inatakiwa kupungua kwa kuwa ujazo unakuwa umepungua.Mama Joe upana inchi 10 urefu futi 10
Nakubaliana na maelezao yako lakini .... inaeleweka ukiambiwa mbao za urefu futi 10 na upana inchi 10 hivi ndivyo tunavyowaelewesha wanunuzi na wanaelewa kwa wahitaji .... karibuniNa ujazo haujazungumzia, maana unapokuwa unauza mbao ni Upana x Kima x Urefu ili mtu ajue kwa ujazo ni bei gani: Mfano Mbao ya 10" x 2" x 1' (Upana ni nchi 10 x kima ni nchi 2 x urefu wa futi 1) = TZS 4,400 maana yake hapo kati yaani kima kikipungua kikawa ni nchi 1 na bei kwa futi inatakiwa kupungua kwa kuwa ujazo unakuwa umepungua. Maana yake 10"x 2" x 1' = 20 cu inches per feet na 10" x 1" x 1' = 10 cu inches per feet ambayo likely bei inakuwa ni nusu ya 10 x 2.
Nakubaliana na maelezao yako lakini .... inaeleweka ukiambiwa mbao za urefu futi 10 na upana inchi 10 hivi ndivyo tunavyowaelewesha wanunuzi na wanaelewa kwa wahitaji .... karibuni
..Mpodo & Mninga same price.......... kama unahitaji fanya Private Message tuwasilianeBei inafanana kwa aina zote za mbao? Mninga Vs Mpondo, urefu na upana wote sawa? mbao nying ni ngapi ili kupata usafiri bure
.......... Tunazo mbao za MNINGA NA MPODO bei Tshs. 44,000/= kwa moja urefu futi 10...... anayehitaji nyingi usafiri bure kwa maeneo ya Dar kama unahitaji tafadhali fanya PM
Weka namba ya simu tuwasiliane
......... Nakusikitikia unafanya utani wa kijinga wakati wa kazi...Mbona kwetu 14,000/ ?PUNGUZA BEI TUNUNUE
Kijana hiyo 14,000/= ni bei tu ya kulipa wapasuaji na kusafirisha ubao toka porini..bado kuna fedha ya kibali toka mali asili ambapo kibali cha kupasua mbao ni 305,000/= alafu kuna leseni ( kule kugonga mbao) kila ubao ni elfu 14,000/= au zaidi kutokana na size ya mbao,alafu bado kuna gharama za usafirishaji wa mbao kutoka huko hadi mjini (dar au maeneo mengine) kuja kuziuza...kuwa makini na post zako za utani hii ni sehemu watu wanaangalia jinsi ya kutoka kimaisha na sio kuleta utani.Mbona kwetu 14,000/ ?PUNGUZA BEI TUNUNUE