Lowassa na Kiingereza chake!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

Last edited by a moderator:
Tatizo liko wapi? Ameongea vizuri na zaidi alichoongea ni kizuri zaidi na kinaonesha jinsi gani alivyo makini. kamwe mtoto hawezi kusoma vema na kuelewa kile anachofundishwa kama ana njaa.

wangapi wanaongea kiingereza kama waingereza wenyewe lakini wanachofanya ni utumbo mtupu.
 
kiingereza ni lugha ya waingereza. we leo ukijifunza kispanish, au kirussia, tukucheke kwa sababu hujui vizuri?? kwani ni lugha yako ya kuzaliwa?....kujua kingereza sana sio sifa nzuri, ni dalili ya kutawaliwa kiutamaduni (cultural imperialism)
 
Umeandika vizuri sana maana Larry King hatarudi milele kuwa kwenye CNN TV, kama alivyo LOWASSA.

Kama unaona anafaa, muite kwako na mwambie Mkeo ampikie kitumbua ale.

Acha jazba kamanda Larry King bado anafanya shows cnn mara moja moja hasa j2,sio ile larry king live ya zamani ambayo siku hizi yuko muingereza Piers Morgan,ambae huwa siikosi show yake daily pamoja na 360 ya Anderson cooper,naijua ccn kuliko maelezo kaka!Mzee Larry juzi tu 0CT 16 2011 katoka kumuhoji JOHNNY DEFF!!!!!!!MCHECK HAPO CHINI

Johnny Depp Interview with Larry King / Oct 16 on CNN - YouTube
 
Tatizo liko wapi? Ameongea vizuri na zaidi alichoongea ni kizuri zaidi na kinaonesha jinsi gani alivyo makini. kamwe mtoto hawezi kusoma vema na kuelewa kile anachofundishwa kama ana njaa.
wangapi wanaongea kiingereza kama waingereza wenyewe lakini wanachofanya ni utumbo mtupu.

mi nilitaka tu mumsikie angalau,maana naamini wengi hamkuwahi kumuona akizungumza lugha hiyo y kimataifa,nikawapa fursa hiyo,then "mpime" nashukuru mnaendelea "kupima"!!!hili ni jukwaa huru ndio maana juzi pia tuliambiwa hapa kuna mwingine alipata division 0 lakini ni muheshimiwa na anadeliver kwa watu wake but haituzuii kusema alipata 0 pia!!
 
English, french mention lugha zooote, wala haina tija kujua, muhim ni lugha yako: ila kitu pekee ambacho naamini ni kuwa, b'se mfumo wa education in TZ, frm sec na kuendelea uko kwa english, zen mimi naamini kuwa kama umesoma at least kwa level ya shahada ya kwanza in TZ zen lazma uwe unajua english. Sasa itokeapo mtu kasoma hadi 2 zat level zen english inampga chenga ni lazma kudoubt hiyo elimu aliipata vp here in TZ. But kwa nchi ambazo mfumo wa edu ni kwa lugha zao like france zen kutojua english is not a big deal @ all: but, note zat kiongoz mzur hatumpimi kwa uwezo wa speaking english or level yake ya elimu
 
naona kelele nyingi ngoja nami nijiridhishe kwa kumcheki huyo mamvi na kidhungu chake
 
English, french mention lugha zooote, wala haina tija kujua, muhim ni lugha yako: ila kitu pekee ambacho naamini ni kuwa, b'se mfumo wa education in TZ, frm sec na kuendelea uko kwa english, zen mimi naamini kuwa kama umesoma at least kwa level ya shahada ya kwanza in TZ zen lazma uwe unajua english. Sasa itokeapo mtu kasoma hadi 2 zat level zen english inampga chenga ni lazma kudoubt hiyo elimu aliipata vp here in TZ. But kwa nchi ambazo mfumo wa edu ni kwa lugha zao like france zen kutojua english is not a big deal @ all: but, note zat kiongoz mzur hatumpimi kwa uwezo wa speaking english or level yake ya elimu

Alaaa!kumbe hata vilaza kama Ole sendeka,Ephraim Kibonde,Joseph Mbilinyi "mr 2" wanaweza kuwa vioongozi na kufanya kazi zao ipasavyo sio?sasa nongwa ya ukilaza huwa mnaitoa wapi??
 
Actually I like his reasoning ''an empty stomach leads to an empty head'' . huwezi ku-concetrate darasani wakati una njaa. he is trying to link the right to education to the right to food. That means poverty has to be fought on various fronts....
Absolutely!! Nimependa sana ujengaji wake wa hoja na nakubaliana nae kabisa jinsi anavyo-link upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi na uwingi wa wanafunzi kwenda shule na ubora wa elimu. Mtoa hoja ameelekeza akili yake kwenye kiingereza japo sioni tatizo lolote kwa jinsi rais wetu ajaye alivyojieleza. Ama kweli waingereza walifanikiwa kututawala na hii ndiyo dalili yake.
 
Alaaa!kumbe hata vilaza kama Ole sendeka,Ephraim Kibonde,Joseph Mbilinyi "mr 2" wanaweza kuwa vioongozi na kufanya kazi zao ipasavyo sio?sasa nongwa ya ukilaza huwa mnaitoa wapi??

Yeah, zey can b gud leaders: ila kosa ni pale unapotuhumu edu ya mwenzio wkt yako ni ya mashaka, e.g olesendeka (form six) kudoubt edu ya lisu (masters degree).
 
acha ulimbukeni....kiingereza ni lugha ya waingereza. we leo ukijifunza kispanish, au kirussia, tukucheke kwa sababu hujui vizuri?? kwani ni lugha yako ya kuzaliwa?....kujua kingereza sana sio sifa nzuri, ni dalili ya kutawaliwa kiutamaduni (cultural imperialism)[/QUOT E]
Bora mkuu, nami umenisadia ktk hili, aisey! Jamvini kuna mambo! Cjui niite v2ko! Leo ndy nime'gain k2 kipya kwmb kingereza ndy kigezo cha urais! Nakumbuka marehemu mjomba alikua houseboy wa mzungu ktk mashamba ya mkonge kule Mtindiro Tanga miaka ile ya 70's then mzungu yule alipomaliza mkataba aliondoka nae uncle, mjomba alikaa Cardif uingereza almost 4 abt 20 years na alirejea Tz early 90's. Uncle alikua akiongea fluet english utadhani alizaliwa Britain! Bt kuandika ndy ilikua mtihani c kingereza tu ht kiswhl hakuwa akiweza kukiandika! Kw kua ktk maisha yake hakuwahi kwnd shule kbs! Je kw mujibu wa mtoa post mjomba wng angekua hai angeweza kua rais anaemfaa?
 
Kwani Lowasa na Kikwete ni nani ana nafuu katika kuzungumza Kiingereza? Naona wote kama vile watu wa mtaani tu; wanaongea KISWANGLISH
 
Back
Top Bottom