Recent content by kosamfe

  1. K

    Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    Hivi camera ni lazima ishikwe na mtu, hatufahamu kuwa kuna tecnologia ya kisasa katika hili? mbona tuko nyuma ya wakati?
  2. K

    Udhaifu wa kiti cha spika waonekana

    Hizo ndiyo nafasi za favour zinavyotuletea madhara
  3. K

    Shoka la TRA latua CHADEMA

    Harufu ya hujuma
  4. K

    CCM na itikadi ya ujamaa na kujitegemea

    Msameheni kwani hajui atendalo maana anaonekana pia kama vile si mwenzao hata alipoteuliwa hakuwa na magwanda ya kijani
  5. K

    Hamad Rashid vs Freeman Mbowe=mt kilimanjaro vs kichuguu

    Kama mtu ukowa brain washed lazima utaona katika upande ambao umekuingia akilini hata kama unakatoa hoja zisizo za msingi
  6. K

    GE2010 Utafiti waipa Chadema 44% na CCM 41%

    Ushindi si lazima uwanjani tu hata mezani kuna ushindi pia tutarajie ushindi wa aina yoyote ile
  7. K

    Nani zaidi kati ya ngasa na lunyamila

    Vigezo vinatofautiana kutokana na nyakati. Ni kama vile ilivyokuwa vigumu kulinganisha Pele na Maradona
  8. K

    GE2010 Mahanga ahaha Segerea

    Hizo kampeni sasa
  9. K

    Bunge letu na mahudhurio ya aibu!

    Ni aibu, kwani kuna michezo mingi ya kuigiza mbali na hayo mahudhurio hafifu. ndiyo maana hata Zekomedi jana wamejaribu kwaonya kwa lugha zao za kukariri.
  10. K

    Africa was not ready for 2010 world cup

    Naomba huzo data za udhaifu wa kila timu. Kumbuka kuenyesha pia strength ya timu zingine ambayo timu za afrka hazina
Back
Top Bottom