Nani zaidi kati ya ngasa na lunyamila

phenomena

Member
Jul 12, 2010
20
0
Kuna siku kwenye pitaipita zangu nilikutana na huu ubishi,watu walikuwa wakibishana nani mkali kati ya mrisho ngasa na edibily lunyamila basi nami nikaona nilete hii hoja kwa wana JF.Kwa upande wangu me nadhani lunyamila alikuwa juu zaidi ya ngasa wa sasa.:lying:
 
Vigezo vinatofautiana kutokana na nyakati. Ni kama vile ilivyokuwa vigumu kulinganisha Pele na Maradona
 
Edibil Jonas Lunyamila kilikuwa ni kibaji cha aina yake, hauwezi kumlinganisha na Ngasa.
 
we unaweza kulinganisha mcheza mpira na mkimbia mbio za marathon???hhhheeeee huyu dogo ana kitu zaidi ya mbio na akikutana na mtu kapiga mazoezi ya mbio ana ujanja kinachowashinda watu ni kimoja mabeki wengi wa majaaniiiiiiii ikifika kukimbia wanakuzomeaa iloooooooo nenda sasa unakuta dogo anapiga chenga shuti nk
 
Waulize waganda kwa nini mabasi yao waliyaandika Lunyamila Trans na salon zao wakaziandika Lunyamila Hair Cutting.

Issa Sekatawa mlinzi wa Villa wakati huo aliomba kutoka mnamo dakika ya 82 baada ya bala lisoisha toka kwa Lunya.
 
Back
Top Bottom