Bunge letu na mahudhurio ya aibu!

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Huwa aghalabu naangalia LIVE broadcast ya sessions za bunge letu 'tukufu' kama linavyorushwa na TBC 1 kwa sababu nimechoshwa na maigizo yanayofanyika hapo bungeni.

Jana 'kwa bahati mbaya' nili-tune TBC 1 na kuona kituko....nashukuru Mungu sina historia ya matatizo ya ugonjwa wa moyo otherwise ningepata mshtuko wa moyo na kupoteza fahamu!!! Naweza ku-estimate yale mahudhurio kwamba yalikuwa ni robo au chini kidogo ya hapo (20-25%). inauma sana ndugu zangu watanzania!!! ni lini tutakuwa serious na mambo ya msingi kwa taifa hili? ni eneo lipi tupo serious? naomba nitumie maneno haya yanayoonekana kama mepesi lakini naomba nieleweke kwamba 'niliumia sana'!!!

hivi column ya bunge ni ngapi kwa bunge ku-proceed? Jana ilijadiliwa na kupitishwa bajeti ya wizara ya viwanda, biashara na masoko, je kikanuni ni halali basing on that column?

je, inawezekana sherehe za kurudisha fomu ndio zimesababisha hilo? kama ni kweli,je huko sio ku-subotage kazi ya bunge? kwa nini vikao vya chama na shughuli kama hizo za chama zisifanyike nje ya muda wa bunge, mathalani weekend? yet you want me to believe you that you push us towards the dvelopment rather pulling us back?

TBC 1 ipo ndani ya dstv hivyo inaonekana nje ya tanzania, je huko si ku-publicize ujinga wetu?
 
Ni aibu, kwani kuna michezo mingi ya kuigiza mbali na hayo mahudhurio hafifu. ndiyo maana hata Zekomedi jana wamejaribu kwaonya kwa lugha zao za kukariri.
 
Huwa aghalabu naangalia LIVE broadcast ya sessions za bunge letu 'tukufu' kama linavyorushwa na TBC 1 kwa sababu nimechoshwa na maigizo yanayofanyika hapo bungeni. Jana 'kwa bahati mbaya' nili-tune TBC 1 na kuona kituko....nashukuru Mungu sina historia ya matatizo ya ugonjwa wa moyo otherwise ningepata mshtuko wa moyo na kupoteza fahamu!!! Naweza ku-estimate yale mahudhurio kwamba yalikuwa ni robo au chini kidogo ya hapo (20-25%). inauma sana ndugu zangu watanzania!!! ni lini tutakuwa serious na mambo ya msingi kwa taifa hili? ni eneo lipi tupo serious? naomba nitumie maneno haya yanayoonekana kama mepesi lakini naomba nieleweke kwamba 'niliumia sana'!!!

hivi column ya bunge ni ngapi kwa bunge ku-proceed? Jana ilijadiliwa na kupitishwa bajeti ya wizara ya viwanda, biashara na masoko, je kikanuni ni halali basing on that column?

je, inawezekana sherehe za mkwere kurudisha fomu ndio zimesababisha hilo? kama ni kweli,je huko sio ku-subotage kazi ya bunge? kwa nini vikao vya chama na shughuli kama hizo za chama zisifanyike nje ya muda wa bunge, mathalani weekend? yet you want me to believe you that you push us towards the dvelopment rather pulling us back?

TBC 1 ipo ndani ya dstv hivyo inaonekana nje ya tanzania, je huko si ku-publicize ujinga wetu?
Hiyo ni moja ya sababu kwa mfano jana wakati bunge linaendelea Dodoma at the same moment nilimwona Mbunge wa Mbinga John Komba anaimba kwaya ya kumfagilia Kikwete kwenye sherehe za kurudisha fomu kwa Mwenyekiti huyo wa CCM.
Huyu angehudhuria saa ngapi kwenye kikao muhimu cha bajeti!
 
Cha kusikitisha ni kwamba hakuna tamko toka kwa PM wala spika wala kiongozi yeyote kuhusu umuhimu wa bunge kuwa attended na impact ya wahudhuriaji wachache

its like serikali na wabnge wooote wamechoka kabisa kufanya kazi, yet they want to be voted back

DN
 
Spika mwenyewe alikuwa bize huko kwenye sherehe ya kurudisha fomu...
 
wabunge wetu wanashindwa kujua majukumu yao na kutofautisha kati ya bunge na chama.

kimsingi shughuli za chama zilitakiwa kufanywa weekend ili kusisitishe majukumu ya kiserikali ya wabunge, mawaziri na maofisa wengine.

nafikiri bunge na serikali haziwajibiki kwa kuwa hakuna wa kuwaajibisha.............tanzania ni nchi yenye uhuru kupita kiasi. tunahitaji kubadilika
 
mimi nilikereka sana kumwona Mbunge wa nyumbani kwa babu yangu (Mbinga)anaimba kwaya...je ndugu zangu wa Mbinga wamemtuma kuimba kwaya????
 
......nina uhakika sitting allowance ya siku ile watachukua!!!! with expect to vyama mbadala MPS, wa chama tawala woooote https://jamii.app/JFUserGuide their assholes!!!
 
na hata magazeti (the citzen la 02/07/10) limesifia mahudhurio makubwa na uungwaji mkono wa kihistoria kwa jk kama mgombea pekee..

nampongeza sana BWM kwa kuwa kiongozi asiyependa cheap popularity na aliyeweka mbele nidhamu ya kazi na heshima ya uongozi mkuu wa nchi..

spika hana lolote ni waganga njaa na wapendaa sifaa zaidi...inasikitisha kwa umri wao bado wana tabia hizooooooo
 
Cha kusikitisha ni kwamba hakuna tamko toka kwa PM wala spika wala kiongozi yeyote kuhusu umuhimu wa bunge kuwa attended na impact ya wahudhuriaji wachache

its like serikali na wabnge wooote wamechoka kabisa kufanya kazi, yet they want to be voted back

DN

Utoro huu unauma sana. Mbaya zaidi hata wale waliojivisha kofia ya upizani wanaongoza kwa utoro. Zitto nae ambiwa afanya PHD Ujerumani! sasa Bunge anahudhuria saa ngapi? Sisemi mahudhurio yake ya kikao hiki kinachoendelea..lakini his overll attendance!
 
nasikia mbunge wa singida kaskazini lazaro nyalandu atakuwa jimboni na akina rozi mhando .bungeni watajiju.hata wakiwa wa5 hivyihivyo.
 
Bunge la Tanzania ni kw ajiri ya kazi za CCM msipoteze muda kujadili vitu ambavyo wao CCM wala haviwaingiii akilini.
 
je, inawezekana sherehe za mkwere kurudisha fomu ndio zimesababisha hilo? kama ni kweli,je huko sio ku-subotage kazi ya bunge? kwa nini vikao vya chama na shughuli kama hizo za chama zisifanyike nje ya muda wa bunge, mathalani weekend? yet you want me to believe you that you push us towards the dvelopment rather pulling us back?

Sherehe za kurudisha FORM ndiyo sababu cha "EMPTY SEATS" ndani ya Jengo la Bunge la JMT!

You wonder ni sherehe ngapi zitafanyika mpaka JK atakapoapishwa tena kuwa RAIS

- Kuchukua Form sherehe
- Kurudisha Form sherehe
- "Kuvunja bunge" sherehe
- Kupitishwa "Jina la mgombea U-rais" sherehe
- Kutangazwa ushindi wa "Kishindo" sherehe
- Kuapishwa kuwa RAIS sherehe
 
......nina uhakika sitting allowance ya siku ile watachukua!!!! with expect to vyama mbadala MPS, wa chama tawala woooote f.u.c.k their ass.holes!!!

Hata wa vyama mbadala aka upinzani - they deserve that tusi!: At the moment the difference is the SAME
 
......nina uhakika sitting allowance ya siku ile watachukua!!!! with expect to vyama mbadala MPS, wa chama tawala woooote https://jamii.app/JFUserGuide their assholes!!!

Sio lazima utumie MATUSI kuonyesha ulivyokereka. Busara zaidi !
 
Watanzania inabidi tuelewe kuwa hawa wabunge ni wababaishaji tu kipindi hiki walio wengi wameamua kuviacha viti vyao wazi kwa kujidai eti kwenda kwa wananchi kuwaomba wawapitishe tena katika awamu ijao.Kama ni hivyo bunge la bajeti lisiwepo kwani wachangiaji hawapo wapo bize na kazi zao.hata waliopo mwanzini wanaonyesha nia ya kupinga bajeti kwa kutoa mapendekezo mengi lakini mwishoni, naunga hoja mia kwa mia kama sio ubabaishaji ni nini?
 
Sio lazima utumie MATUSI kuonyesha ulivyokereka. Busara zaidi !


...Ndio tatizo letu na ndio maana hawa jamaa wanatuchezea wanavyotaka. kama wao hawatuheshimu kwa nini sisi tuwaheshimu. sometimes we have to call a spade what it really is...... A DAMM SPADE ! I am angry too and I want the SPADE to know that. :mad: :mad:
 
Unafiki! unafiki! unafiki! wabunge wetu wote wanafiki, hawana lolotre wanataka waonekane kwa mkwere kuwa wanamsupport ili aweze kuwafikiria kwenye ufalme wake hapo November atakapokuwa anaunda Baraza la mawaziri. Wabunge wote ni wachumia tumbo tu!
 
Naomba msaada,

Wakihudhuria tunapata nini? na wasipohudhuria tunapata?
 
Back
Top Bottom