Elections 2010 Utafiti waipa Chadema 44% na CCM 41%

Utafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo hayajaharibika.

Hivi wiki mbili zijazo kama utafiti utaipa CCM 60, na Chadema 40, utaukataa? Mfalme akiwa uchi, heri kuambiwa mapema avae nguo kuliko kumshabikia wakati unajua kabisa hajavaa nguo.

CCM wanaweza kushinda lakini sio kwa kishindo; Pia CCM wanaweza kushindwa japo sio kwa kishindo. Hakuna kisichowezekana

Mnasemaje wakuu wenzangu?
Richard
 
Wanajamvini:

Nimepata kubahatika kuongea na mtalaam mmoja wa mashirika haya ya utafiti na amabye ameshiriki; so far anasema analysis mbili zinazofanana zimeshatolewa na Synovate/Redet na zote zinampa Dr Slaa uongozi; ni ganzi wamepigwa so wamekataza matokeo kutolewa; so imebidi watoe matokeo ya vyombo vya habari na coverage wakati ilikuwa sehemu tu ya utafiti; redet hata hiyo wanasita kuitoa maana mashirika ya kimataifa yanaweza kuleta balaa kwa kipindi hiki;maana Dr Slaa anaongoza with 44% and JK 41%; Inasemekana Dr Slaa anajulikana sana vijijini kuliko mijini; ndio maana hata timu ya kampeni ya JK imemnyima muda wa kupumzika; wametuma watu maalum mikoani kuzima upepe ingawa nahisi watakuwa wanakula poisho za bure maana tayari wananchi wameshaamua; Chadema na huu mkakati wa Dr Slaa kukomalia vii=jijini zaidi naona ina manufaa mkubwa; heri usiandikwe baba ila kazi wataiona Oktoba 31

My Take: Redet/Synovate kama hamtatoa majibu haya na ni vema mashirika yenu yafe sasa; hatuyahitaji; yanalinada maslahi ya wachache na utafiti wenu haupo kusaidia watanzania
MM/Invisible/All find the report na iweke hadharani nawaminia sana kwa manufa ya taifa
 
Asante mkuu kwa kuendelea kuleta confirmation za habari tunazoendele kusikia, ila naomba niulize Redet matokeo yake ni yapi maana hiyo ya 44% - 41% tuliambiwa ni ya Synovate.
Ila ni kweli tungeweza kupata full report ingekuwa vyema.
 
Uhakika wake bado; ila margin ni ile ile kuwa Dr Slaa anaongoza with 3 points dhidi ya kikwete; nafuatilia zaidi maana jamaa nae anaogopa kupoyteza kibarua ila anasema hali mbaya sana; hadi ikulu na wapishi kwa sasa hamna mtu wameenda kupiga kampeni hasa baada ya taarifa zile kuwafikia
 
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, ameitaka taasisi ya utafiti masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini ya Synovate kutoa matokeo ya mgombea na chama kinachoongoza kupendwa na wananchi katika kipindi hiki.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana katika Viwanja vya Isanja, wilayani ya Siha, mkoani Kilimanjaro, wakati akimnadi mgombea urais wa Dk. Willibrod Slaa, mgombea ubunge na udiwani.
Alisema tayari chama hicho kina matokeo kamili yaliyofanyiwa kazi na taasisi hiyo hivi karibuni, ambayo yanaonyesha Dk. Slaa, anaongoza kwa asilimia 44, huku mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akifuatia kwa asilimia 41.
Alisema baada ya Synovate kukamilisha matokeo hayo, CCM ilipata taarifa, ikaamua kuwazuia kuyatangaza, kwa madai kuwa yatakidhalilisha chama hicho.

wadau, ndo maana tunasema hii threat iliyotolewa na utaki unaacha ina ukweli

Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili ''
Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%

Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, ameitaka taasisi ya utafiti masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini ya Synovate kutoa matokeo ya mgombea na chama kinachoongoza kupendwa na wananchi katika kipindi hiki.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana katika Viwanja vya Isanja, wilayani ya Siha, mkoani Kilimanjaro, wakati akimnadi mgombea urais wa Dk. Willibrod Slaa, mgombea ubunge na udiwani.
Alisema tayari chama hicho kina matokeo kamili yaliyofanyiwa kazi na taasisi hiyo hivi karibuni, ambayo yanaonyesha Dk. Slaa, anaongoza kwa asilimia 44, huku mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akifuatia kwa asilimia 41.
Alisema baada ya Synovate kukamilisha matokeo hayo, CCM ilipata taarifa, ikaamua kuwazuia kuyatangaza, kwa madai kuwa yatakidhalilisha chama hicho.

SOURCE TANZANIA DAIMA

wadau, ndo maana tunasema hii threat iliyotolewa na utaki unaacha ina ukweli

Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili ''
Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%

Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
 
Wanajamvini:

Nimepata kubahatika kuongea na mtalaam mmoja wa mashirika haya ya utafiti na amabye ameshiriki; so far anasema analysis mbili zinazofanana zimeshatolewa na Synovate/Redet na zote zinampa Dr Slaa uongozi; ni ganzi wamepigwa so wamekataza matokeo kutolewa; so imebidi watoe matokeo ya vyombo vya habari na coverage wakati ilikuwa sehemu tu ya utafiti; redet hata hiyo wanasita kuitoa maana mashirika ya kimataifa yanaweza kuleta balaa kwa kipindi hiki;maana Dr Slaa anaongoza with 44% and JK 41%; Inasemekana Dr Slaa anajulikana sana vijijini kuliko mijini; ndio maana hata timu ya kampeni ya JK imemnyima muda wa kupumzika; wametuma watu maalum mikoani kuzima upepe ingawa nahisi watakuwa wanakula poisho za bure maana tayari wananchi wameshaamua; Chadema na huu mkakati wa Dr Slaa kukomalia vii=jijini zaidi naona ina manufaa mkubwa; heri usiandikwe baba ila kazi wataiona Oktoba 31

My Take: Redet/Synovate kama hamtatoa majibu haya na ni vema mashirika yenu yafe sasa; hatuyahitaji; yanalinada maslahi ya wachache na utafiti wenu haupo kusaidia watanzania
MM/Invisible/All find the report na iweke hadharani nawaminia sana kwa manufa ya taifa

Sounds like Dakta wa Migombani! Teh teh teh!!!
 
Ushindi si lazima uwanjani tu hata mezani kuna ushindi pia tutarajie ushindi wa aina yoyote ile
 
Hueleweki mzee.......heading na ulichoandika hamna uelewano wowote.......
 
Taarifa kwenye vyombo vya habari zinaonesha (jambo leo news paper) source ni synovate:
lakini nina wasi wasi sana hii Taasisi kuhusu Tafiti zake.

DR.SLAA IS A MAN WHO HAS BEEN SENT TO SAVE TANZANIAN IN THEIR TIME OF NEED.
VOTE FOR DR.SLAA VOTE FOR CHADEMA
 
Attachments

  • CompaignTshirt.JPG
    CompaignTshirt.JPG
    35.8 KB · Views: 13
though i distrust SYNOVATE lakini seems kuna mengi walituficha hata katika tafiti za awali.

Wakuu tusibweteke na tafiti hizi ambazo bado watanzania wengi hawajajua impact yake, tujikite kwenye kuongeza nguvu ktk kuelimisha umma kuwa this time HATUDANGANYIKI.
 
Mimi nasema hivi: hata kama habari hizo za Synovate kuminya ripoti hiyo siyo za kweli, hii ni campaign tactict nzuri sana waliofanya akina Mbowe dhidi ya CCM, na imewapa CCM pigo kubwa. Maafisa wa Synovate bila shaka leo watatoa statement ya kukanusha, lakini habari zimesha-sink in na hawataaminika sana. Sababu moja kubwa ni kwamba vipi wakati huu wa kampeni ambapo wagombea wawili wakuu wanachuana vikali wasifanye utafiti wa kujua nani anakubalika zaidi -- badala yake wanakuja na utafiti eti jinsi magazeti yanavyo-cover habari za kampeni ki-chama! That's is nonsense!!! Wakati huu unakuja na kitu hicho?
 
Back
Top Bottom