Recent content by Kombo

  1. Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

    Daaah...!! Milioni mbili?
  2. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    RIP Patrick Mutesa Mafisango!
  3. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

    Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa, Juma Nyoso (kushoto) na John Boko, wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mafisango kuupeleka sehemu iliyopangwa. Kocha Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, akiwa na huzuni...
  4. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

    Asante Mkuu, ni msiba mzito kwa kweli. Binadamu tunapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo wakati wote!
  5. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

    Buriani Mafisango!
  6. Kombo

    JamiiForums Tanzania HUNDI za akina-MKULLO zachanwa...

    Aliyepaswa kutangaza "kuwafukuza kazi" hakufanya hivyo na badala yake akawaacha kwenye "Baraza la Mawaziri", tatizo ni lile lile "koleo haliitwi koleo."
  7. Kombo

    JamiiForums Tanzania Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha, auota utalishi

    Mambo ya Ngoswe!
  8. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

    RIP Patrick Mutesa Mafisangoooooooal!
  9. Kombo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    Inasikitisha. Nimesoma na Taji shule moja (Nikiwa High School yeye akiwa O-Level) na kwa wakati fulani nilifanya kazi na Mamake, hii story imeniharibia siku kabisa. Yapo mambo maishani hayapaswi kukumbukwa, hili ni mojawapo.
  10. Kombo

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba aukwaa u-DC

    Darasa la saba ni Elimu tosha kabisa, tupo wengi tu wenye Elimu hiyo na mambo yanakwenda. Tuache ubaguzi, kwani kazi ya Mkuu wa Wilaya ni nini?
  11. Kombo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boban atinga airport na kandambili

    Mbona katoka pouwa tu?
  12. Kombo

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana

    Tangu lini "Chizi" akaongoza Shirika kwa ufanisi?
  13. Kombo

    JamiiForums Tanzania Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

    Wanasemaga "mwosha huoshwa!" ....asubiri zamu yake ya kuoshwa, asijerusha ngumi tu!
  14. Kombo

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Ha ha ha haaaa...!!!! Anasubiriwa Jeshini.
  15. Kombo

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Yuko Singida.
Back
Top Bottom