Hatimaye aliyemchinja yule kada wa CHADEMA Arumeru akamatwa!

Status
Not open for further replies.
inawezekana,,,,kama polisi watafanya investigation zaid,,,cheni itakua ndefu sana,,,,huyo mwenyekiti ametoa wapi ml 2!????????

Huyo mwenyekiti ni mpigaji hela wa hatari. Na chain ni ndefu sana mkuu, mtaani watu wanajua. Plus waliyasema haya hata kabla na yakatokea.
 
mauaji.jpg


....CCM mbona hivi CCM kwa Mtanzania mwenzetu hivi??????????????????????????????
 
hIVI mWIGULU HAJASHIRIKI MAANA YEYE AMEOGOZA KAMAPENI MBILI ZOTE ZA MAUJI KULE IGUNGA NA A.MASHARIKI.kule jimboni kwake kikiji cha Ulemo aliweka kambi ya vijana ya ccm kama makamanda ,ndio matokeo yake.Je au ndio makamandoo wa Mukama aliojidai kudanganya umma kuwa cdm imeleta makamandoo kutoka pakistani,Libya na Afghan ili kuficha ulimwengu.CCM ni zaidi ya chama cha Nazi enzi ya Hitler dhidi ya Wayahudi.Tusikipe ushirikiano wa aina yoyote


Huyu jamaa ali-import genge la wababe na mapanga kutoka serengeti during kampeni za meru, aliwaweka Leganga karibu na ngome yao pale Getaway Lodge. Hawashindwi kulipa Million mbili kila kichwa kitakachochinjwa.

Na Huyu aliemchinja Mbwambo alishawahi kuua tena kwao akakwepa hukumu, Ninaamini walimwacha huru ili waje wamtumie kwa shughuli kama hizi
 
Ni habari njema ya kukamatwa,lakini kwa wapenda amani ni habari amabayo imetuamshia machungu juu ya kitendo cha kinyama kama hiki.
Inasikitisha kwa wale wanaoleta ushabiki kwenye mambo mazito kama haya,ni mamo yanayogusa maisha ya watu moja kwa moja.nalisema hili kufuatia ukweli kwamba kuna watu humu tukiwaambia CCM ni wauaji wanabisha,tena ni wauaji kwa mambo ya kisiasa ambayo mpambano wake humalizwa kwa hoja jukwaani.lakini wenzetu hawa wa magamba-ccm waoneni sasa jinsi wanavyotoa roho za watu kwa kuzidiwa hoja.mara kadhaaa nimekuwa nikisema Mungu hajalala.unyama huu CCM imekuwa ni moja ya utaratibu wao maana hata wao kwa wao walishakuwa wakichinjana,nadhani mtakumbukwa Mwanza mama mmoja alipigwa kisu kifuani akiwa ofisi ya ccm pale isamilo,na mtu alieshiriki hilo ni mwana ccm mwenzake,alikodi watu akatekeleza mauaji yake yeye akiwa DAR na siku alipokuwa anarudi MWZ alikamatwa sijajua kesi hiyo imefikia wapi,lakini akina Dr Chegeni nao walishapangiana dili ya kuana naikabumbuliwa mapema,kama vile haistoshi Igunga waliua kamanda 1 wa CDM ,MWZ huko huko walitaka kuua wabunge wawili wa CDM hivi majuzi naamini hamjasahau,mara Arumeru,sasa Nape tutangazie rasmi kama ndio mpango wenu,na hata usiposema hadhharani hii in impression gani kama si chama cha wauaji?

Mshindwae na mlegee Nape na Chama chenu cha magamba
 
WHAT IF WANAOTUHUMIWA WAKIAMUA KUPOTEZA USHAHIDI KWA KUM_ELIMINATE AKIWA MIKONONI MWA POLISI ILI UKWELI USIJULIKANE?MImi naishauri polisi yetu pendwa, endapo ni kweli huyo jamaa amekamatwa, apewe ulinzi kama raisi ili tujue yaliyojificha nyuma ya pazia, otherwise inaweza kuwa vigumu! Ni wazooooo tuuuuuuuuu!
hii inatisha kaka, acha sheria ichukue mkondo wake
 
Damu ya mtu kamwe haipotei kaka;

Mtu huwezi ukawa kampen meneja wa chaguzi mbili zote ambazo kila kimoja kumetokea mauaji ya kutisha huku ukitamba ovyo na maneno ya ki-ayawani mitaani eti kwa jina tu la chama huku WaTanzania wenzako wakichinjwa hivi. Damu ya hawa itatuelekeza hadi kwa kundi zima la wauaji wao popote pale walipo.

mauaji.jpg



Huyu jamaa ali-import genge la wababe na mapanga kutoka serengeti during kampeni za meru, aliwaweka Leganga karibu na ngome yao pale Getaway Lodge. Hawashindwi kulipa Million mbili kila kichwa kitakachochinjwa.

Na Huyu aliemchinja Mbwambo alishawahi kuua tena kwao akakwepa hukumu, Ninaamini walimwacha huru ili waje wamtumie kwa shughuli kama hizi
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.

Kwa kuwa kuna ushahidi usiyo na mashaka kwamba Mugulu Nchemba na Nape Nnauye (Al - Sahafu), ndiyo mabingwa wa kufadhiri na kuyalipa makundi ya wahuni ili kuwapiga na hatimaye kuwadhuru wafuasi na viongozi wa CDM – rejea matukio kadhaa ya Igunga, ikiwamo wabunge wa CCM kuvamia kambi ya Chadema – basi sasa wakati mwafaka umefika kwa jeshi la polisi chini ya kamanda Mwema, kuchunguza Nape na Mwigulu juu ya kilichomfika mwenyekiti wa CDM Arumeru.

Mimi naamini viongozi wa jeshi la polisi, wakifanya kazi yao vizuri kwa kuwahojini Nape na Mwiguru juu ya mauaji ya mwenyekiti huyo, ukweli utapatikana. Mengi yatasikika na pengine hamjawahi kuyasikia masikioni mwenu.

Niko tayari kuwapa ushahidi wa kutosha juu ya suala hili.

Wakatabahu, Abdallah Zombe (RPC) mstaafu.
 
Vipi hao uliowataja wangekuwa nduguzo (baba,mttoto au kaka) ungesema ni kitu cha kawaida kana kwamba kakanyagwa sisimizi? Elungata ACHA UCHURO!!!!!!!!!!!
Mauaji ya kisiasa ni kitu cha kawaida kuna kina TOM MBOYA,CHACHA WANGWE e.t.c waliwahi kuwa wahanga.so hakuna kitu cha ajabu hapo.tuwapongeze tu polisi kwa INTELLIGISIA ilofanikisha kukamatwa kwa muuaji.na hatuwezi sema huyo ni profesheno nadhani njaa tu ndo imefanya akubali kumchinja mwenzake kama kuku.
 
MTUHUMIWA HUYO ALMAARUFU KWA JINA LA (CHEWAJA)ALIKUWA NI MPANGAJI KATIKA NYUMBA YA MAREHEMUNI (waliishiwote myumba moja) NI MZALIWA WA SINGIDA,MKAZI WA ARUMERU MASHARIKI,AMEKAMATWA DODOMA AKIWA KWA MGANGA WA KIENYEJI,AWATAJA ALIOSHIRIKIANA NAO KATIKA MAUAJI HAYO MMOJA WAPO NI KADA WA CCM NA PIA NI MWANYEKITI WA KIJIJI,VILIO VILITAWALA BAADA YA MTUHUMIWA HUYO KURUDISHWA KIJIJINI CHINI YA ULINZI MKALI WA JESHI LA POLISI KUONYESHA OLIKOFICHA VIFAA VYA MAUAJI WANANCHI WAPANDWA NA HASIRA WATAKA KUMUUA ASKARI WAZUIA,SILAHA ZAKUTWA SHAMBANI KWA MWENYEKITI ZIKIWA ZIMEFUKIWA CHINI AMBAPO BAADA YA KUFUKUA WALIKUTA BUNDUKI MBILI,KISU PANGA,NA MASHINE YA KUKATIA MITI ILIYO TUMIKA KUMCHINJIA MAREHEMU ALIFANYA MAUAJI HAYO KWA UJIRA WA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI MBILI(SH.2.000,000/=)YASEMEKANA HATA UKO SINGIDA ALIKIMBIA KESI YA MAUAJI.

source:MIMI MWENYEWE LIVE KUTOKA KATIKA TUKIO.

Eti kwa ushahidi huu kesi yake ITAPIGWA danadana baadae hatatiwa hatiani kabisa!
 
Dah! Mmeniliza tena kwa mara nyingine. Damu ya marehemu itakumbukwa milele. Kwakuwa imeshaanza kuthibitika ameuwawa kwaajili ya siasa CDM embu ifikirieni familia yake tena, ili na wengine wapate moyo wa uzalendo

duh inahuzunisha kwa kweli

ila umepata wapi conclusion kuwa ni kwa sababu ya kisiasa?? lets not our emotion lead us, unajua ukisoma btn the lines utagundua either statment yako ina ukweli...(japo hatujajua umeupata wapi) na kama sio basi hakuandika wka kufikiria

1. je alikoua mara ya kwanza ilikuwa ni sababu za kisiasa
2. alikuwa mpangaji wake je sio kuwa inawezekana either walikuwa na ugomvi na imetokea coincidence na issues zingine ambazo nazo hazijulikani ni nini. usije kukuta marehemu alikuwa anatembea na wake za watu na ndio ilichopelekea kifo (sijui)
3. sababu za kisiasa ambazo zijui marehemu alikua na nguvu gani kiasi cha kuuawa, maana kwa hii kasi ya M4C inawezekana wengi wakafa basi!!!! think here
4. lakini ingekuwa hivyo, polisi si ya CCM tena arusha!! wala wasingejihangaisha.....wangeambiwa kaa kimya!!..jamani wasiuawe akina slaa ambao ni threat kwa CCM iwe huyu jamaa???
 
Jamani uko uyu mtu aliko kamatwa ni kijijini kwetu kabisa,Kweli alijificha ila Mwenyezi Mungu amesikia sala za Watanzania wote.mimi naishi Arusha baba yangu yupo kijijini.siku mwenyekiti wetu ame chinjwa nilimpigia baba yangu simu nikiwa na majonzi makubwa nika mwambia baba yangu Chama choko Ccm kinavo fanya sio vizuri ila Mungu yupo siku moja uta sikia mwanao pia nime wawa na wana Ccm wenzako sababu mimi snta rudi nyuma kulitetea taifa langu mpaka tone la mwisho la damu.siku huyu mtu ana kamatwa baba yangu alikua shuhuda uko kijijini kwamtoro dodoma vijijini usandawe na aka niambia kuanzia leo mimi sio mwana Ccm tena na kadi ya CHADEMA anayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom