Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

Jamaa was a real jembe,it's a big pigo to soka's fans,mimi binafsi nilikuwa namkubali sana na naamini ni mmoja wa watu waliotengeneza mafanikio ya Simba ya mwaka huu kwa juhudi zao binafsi,watani wana kazi kubwa ya kuziba hili pengo otherwise mzigo utamuelemea ndugu yangu Okwi kwenye Kagame na michuano mingine ya mbeleni.
Anyway Rest In Peace Jembe.
 
sa mbona na wewe umemuweka Mafisango kwenye hao maestro.halafu usirudie tena kutaja maestro bila kumuhusisha Sir PAUL SCHOLES utachekwa.R.I.P jembe Mafisango

Ndio maana nikaweka kiulizo kana kwamba unapowataja Maestro hao niliowaorodhesha je nimuweke na yeye?

Then umenishauri nimuweke Sir Paul Scholes well ntamuweka.
Je na Sir mwenzie Elton John?
 
Mkuu you dropped some very big names they might even cause some problems with the server and Milan is all over what a coincidence!
He was more of Bongoland/sub-saharan standard maestro.

Basi angeandika Mafisango was Maestro kwa Bongo na sub saharan.
Sasa anavyoandika Mafisango alikuwa Maestro it means ni all over the world.

Mwambie asikurupuke siku nyingine.
 
Ni maeneo ya temeke karibu na uwanja wa taifa, kwa wale wanaopanda daladala kutoka k/koo unashuka ttc au maduka mawili. watu ni wengi. tayari wameshaanza kuaga but waandishi wa habari walitaka kuharibu mpangilio baada ya kung'ang'ania kupiga picha bila kutoka. walio takiwa kutoa salaam wakiwa wa kwanza ni waandishi wa habari ikiwemo kupiga picha na kuondoka na wengine kufuatia. watu ni wengi inaweza kufika saa tisa alasiri.
mfsn.JPG


427.jpg


523.jpg



916.jpg



1010.jpg



1310.jpg



815.jpg



IMG_0310.JPG




IMG_0288.JPG
 
Viongozi wa yanga wapo. Nchunga mwenyekiti wa yanga yupo hapa kakaa mbele kabisa akiwa na Madega na viongozi wengine wa yanga. Polisi wameweka ulinzi wa kutosha. kwa nyuma kidedea wanaimba "tunakuomba tunakuomba umpokee mafisango..umpokee mafisango..ewe mora tunakuomba" wakiwa na bendera yao kubwa.



550901_339529199446535_100001683749106_804294_1734008092_n.jpg




916.jpg
 
Poleni sana wakuu nomba mambo yaende kama yalivyopangwa.R.I.P mafisango
 
wekundu wa ubungo terminal wametoa mchango wa laki moja, sasa hivi wanaoaga ni timu ya taifa ikifuatiwa na wachezaji wa simba. vilevile coastal union wapo ndugu zao simba.
 
Kwahiyo hao kidedea wanampigia chapuo kwa M/mungu?kumbukeni pia alikua anatoka club na alikua"nyingi"jee M/mungu atawasikiliza kidedea au atafata haki?
 
azam sport club wametoa mil 1. haruna moshi kachangia laki mbili. boban ataongozana na msafara wa maiti kwenda Congo. huyu aliomba uraia wa Rwanda lakini ni mzaliwa wa congo. so mafisango atapelekwa congo. polisi wameshindwa kabisa kuweka watu kwenye foleni wameamua kutumia virungu. filimbi imepigwa, watu wanaanza kuchapwa viboko hapa uwanjani. mistali ipo zaidi ya minne ya kwenda kuaga wakati unatakiwa mmoja. so polisi wameamua kutumia virungu ili watu wakae kwenye msitari.
 
watu wanakanyagana baada ya polisi kuwapiga wa mbele na kurudi nyuma so ukianguka unakanyagwa. walicho kosea hawa walio andaa hapa wameshindwa kuweka spika zinazo sikika. watu wanazidi nguvu spika zilizopo hapa so hazisikiki spika zipo mbili uwanja mzima tena pale karibu na jeneza so wa tu wanyuma hawasikii. ukweli watu wapo wenye mapenzi ya kweli kwani wapo walio zimia na wengine kuchanganyikiwa kabisa. Yupo baba fulani hapa analia kabisa. naona wandishi wa habari wanamrecord. bila shaka anarushwa leo .
 
Mc anasema tuwasikilize polisi twende kwa ustarabu, wekundu wa terminal wameombwa kusaidia kuweka watu kwenye mistari baada ya polisi kulemewa. sasa hivi wameweka ule wimbo wa wanyarwanda wa kwetu pazuri. Ninayo hamu kurudi nyumbani nyumbani kwetu ambapo hatutatengana...sipati picha kwa watakao fika mbinguni.
 
Back
Top Bottom