Recent content by Kokwa kavu

  1. Kokwa kavu

    INSTASCOOP (MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD)

    Kujaribu kitu kipya hakungati share na marafiki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kokwa kavu

    INSTASCOOP (MWANANCHI COMMUNICATIONS LTD)

    JINSI YA KUJIUNGA NA *INSTASCOOP* njia mpya ya kupata habari za uwakika moja kwa moja kwenye *WhatsApp* yako kutoka *Mwananchi communications Ltd* 1-Bonyeza hii link[emoji1427][emoji1427][emoji1427] https://rebrand.ly/MCL4 2-Bofya neno JISAJILI 3-Bonyeza neno WhatsApp 4- Weka alama ya vyema...
  3. Kokwa kavu

    Kilichojiri Interview ya PPF

    Majina yapo kwenye instagram account yako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kokwa kavu

    Kilichojiri Interview ya PPF

    Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kokwa kavu

    Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    Ivi TGS D ni mshahara kiasi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kokwa kavu

    Series (Special thread)

    Pole sana but tatizo ni ulikua umepewa sifa zote ambazo huwez pata kwa episode 1 take your time and watch when huna haraka then uje utoe mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kokwa kavu

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Hongera kaka kwa hizi makala zinatupa mafundisho sana niko hapa nasubiria muendelezo
  8. Kokwa kavu

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Mkuu uzi zako najitahidig nisikose kabisa sehem ya 3 lini?
  9. Kokwa kavu

    Hivi kuandaa watoto kumshangilia Rais Walimu mnapata faida gani?

    Hawajaandaliwa kabisa ila kanisa la kristu mfalme misa ya pili ni ya kingereza ambako washiriki wake wakubwa ni wanafunzi wa St Mary goreth so ilikua obvious kwa wao kushangilia walipomuona Rais hili sio kosa ni jambo natural kutokea.
  10. Kokwa kavu

    Dactari bingwa wa kifua na mapafu

    asante kaka kesho nitakwenda
  11. Kokwa kavu

    Dactari bingwa wa kifua na mapafu

    Habari wakuu, Nimekua natatizo la kifua kwa muda mrefu nikitumia vitu vya baridi nakua natoa makoozi kwa muda mrefu nimeacha lakini hali bado ipo na pafu la kulia kwa chini asubuh linakua linauma hata mchana au nikiwa kwenye ac kali. Nimepiga xray mara nying wanasema niko poa. kuna wakat...
  12. Kokwa kavu

    Sababu muhimu kwanini Urusi hawezi shinda vita dhidi ya USA

    What i know data zote zilizo waz ni za kimbinu cio za kwel maana kama nakumbuka vizur kuna mwanamke mmoja wa kirusi alikua trained kuingia kwenye maisha ya wazir wa ulinz wa uingereza ili kujua idadi ya askari mwenye data sahih anirekebishe but all in all vita ya tatu as full scale war kutokea...
  13. Kokwa kavu

    Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    wewe kama mzazi subir siku mwanao anakuja kukutoa macho ndo utajifunza kumfundisha adabu kabla mwalimu hajaja kumpiga kuzaa sio tija bali lea pia katika nizamu nzur
  14. Kokwa kavu

    Mji wa costantinople

    ulikua mji mkuu wa ufalme wa warumi wa mashariki uliobaki after wa magharibi kufa now days instanbul kabla Ottoman empire haijaja kuiangusha dola hii ya kirumi mwaka 1453 iliyotawala dunia kwa miaka 1500 toka 27BC kwa ujumla
Back
Top Bottom