NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Hahahahah
Ruksa kubishasio kweli aisee, kwa hili nitakubishia hadi mitume wafufuke
Dalili za uogaMajeshi yote wameshapata Salary kasoro Kada zingine
Angalia hapo grocery kama wamejazana !!Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
yaani sio kubisha tu bali kukukatalia kata kata weee Justine_Dannie sio kweli, kabisa yaani sio kweli hata
Umetoka ila umeenda kusalimia canada mara mojayaani sio kubisha tu bali kukukatalia kata kata weee Justine_Dannie sio kweli, kabisa yaani sio kweli hata
Mbona kimya? mshahara tayari?Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
hahahahah, halafu weweee, hahahhahaahhahahaha, acha kumrusha roho mwenzio bwana! hahahahaahahahahaha.
Sawayaani sio kubisha tu bali kukukatalia kata kata weee Justine_Dannie sio kweli, kabisa yaani sio kweli hata
hahahahah, mbona umeitikia kama nakuona vile kwa shingo upande, hahahhah,
Majeshi hawawezi patahahahahah, mbona umeitikia kama nakuona vile kwa shingo upande, hahahhah,
ukweli hata majeshi hawajapata