Kokwa kavu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 220
- 41
Habari wakuu,
Nimekua natatizo la kifua kwa muda mrefu nikitumia vitu vya baridi nakua natoa makoozi kwa muda mrefu nimeacha lakini hali bado ipo na pafu la kulia kwa chini asubuh linakua linauma hata mchana au nikiwa kwenye ac kali.
Nimepiga xray mara nying wanasema niko poa. kuna wakat nilienda Aga khan nikamkuta dactari mmoja kutoka Pakistan akaniambia nilipata infection utotoni pakianza kuuma niende akanitibu palipoanza kuuma nikaenda akawa kasharud kwao uhamiaji walimbania now cjui nafanyaje nimetafuta nimekosa wote wanasema hakuna tatizo.