Nimesikitishwa na kitendo cha maigizo yaliyofanywa leo huko Kilimanjaro ambapo video inawaonesha wanafunzi wakiwa na walimu wao wakimsubiri Rais Magufuli atoke kanisani, na Mara baada ya kutoka wakaanza kumshangilia.
Najua hili lilipangwa, lakini kwanini wasitumiwe watu wakubwa na wanafunzi wakaachwa kuendelea na majukumu yao ya kiuanafunzi?
Walimu wetu ifike hatua mjitambue siyo kukaa na kuwaongoza wanafunzi kwenda kujipanga nje ya nyumba za ibada kusubiri kushangilia viongizi Wa kisiasa.