DO YOU REMEMBER 22 OCTOBER, 43 YEARS AGO??
On 22 October 1966, the University College of Dar-es-Salaam at Mlimani was closed by the late President Nyerere and all students were sent home to their villages after they demonstrated up to IKULU against a Parliamentary Draft Bill to make National...
Swali lako sawasawa na kumwita Kabwe "mpinzani" wakati anatoa hoja ya Richmond, madini, BOT, n.k. halafu CCM "inapinga hoja hizo". Hapo nani mpinzani Bungeni??
Mada ni MAHAKAMA YA WAISLAMU - full stop!
Kanisa Katoliki TZ "ituchagulie Marais wanaofaa!"
Yaliyoandikwa katika 'RAIA MWEMA' wiki hii yanadhihirisha maneno ya Padre Sivalone kwamba Tanganyika na Tanzania zimekuwa/zinatawaliwa na kufuata Mfumo Kristo, hususan chini ya kanisa katoliki. Hebu angalia:
(1) Tokea Uhuru tumekuwa na Marais...
Sina mtazamo binafsi ila yale yaliyomo katika Surah ya 3 ya Qur'an, yaani AL-IMRAN inayoelezea uzawa wa Yesu pamoja na maudhui mengine. Ndio maana, nimemalizia kwa kumwomba msomaji, "YOU BE THE JUDGE".
Mrs. Victoria Addison Taylors revelation about her husbands conversion to Judaism in the Liberian Heritage of June 3, 2009 under the title CHARLES TAYLOR JOINS JUDAISM made a sensational headline in that Newspaper (browse www.heritage.com.lr) and Breaking News to the whole world. She was...
Tangazo hili halina tofauti yo yote na yale tunayoyasoma katika "Sell & Buy", "Advertise DAR" au booklets zingine zinazotangaza biashara. Watanzania inabidi tuwe wabunifu wa "kuonyesha na kuiuza expertise" yetu tuliyonayo kwa kina zaidi na bayana. Maelezo hayo yoote yangetosheleza iwapo...
Membe anayosema sio sahihi kwa sababu:
1) Ghailani "anatuhumiwa" kuvunja sheria nchini Tanzania na Wamerika "wameshamtesa na kumfunga Guantanamo hata kabla hajahukumiwa". Eti sasa baada ya kelele za Wanaharakati wa Haki za Binadamu ndio anapelekwa mahakamani NY "kusikiliza kesi yake". Waache...
WAZIRI ANAOGOPA KUWAUDHI "WANAOKULA KITI MOTO NA WAUZAJI WA BIDHAA HII TAKA-TIFU".
UN SPOKESPERSON'S MORNING HEADLINES FOR THURSDAY, 30 APRIL 2009
SWINE FLU: The World Health Organization took the unprecedented step yesterday of warning that the world is probably on the verge of a...
It is the Seventh Day Adventists who are playing the 'tout'! Pastor Obuya said that the church had been reaching out to Mama Sarah for the past three weeks....Her baptism was to mark the end of a three-week convention by the church in Kisumu... OUTRAGEOUS!!
Simple. The message is clear "as...
Mosi: Nkamangi inaelekea hata "Ukristo" haujui vizuri. Na je, "Amri 10 za Mungu" mbona alipewa Nabii Musa lakini Wakristo ndio mme-hijack as if it was Jesus who was given the Commandments??
Pili: Tuachane masuala ya dini na tujadili mada yangu. Mimi sikuwataja Wakristo ila nimewahatarisha...
Swine Influenza (Flu)
Swine Influenza (swine flu) is a respiratory disease of pigs caused by type A influenza that regularly cause outbreaks of influenza among pigs. Swine flu viruses do not normally infect humans, however, human infections with swine flu do occur, and cases of human-to-human...
SOMALIA: You Are Being Lied to About Pirates
By Johann Hari
In 1991, the government of Somalia - in the Horn of Africa - collapsed. Its nine million people have been teetering on starvation ever since - and many of the ugliest forces in the Western world have seen this as a great...
Mtakatifu HAUWI, hashiriki mauaji wala kuamuru mtu kuuawa kama:
a) Nyerere alivyowaua Waganda na Wa-nigeria na baadhi ya Watanzania kufa katika vita vya Uganda na Biafra (yeye akiwa Amiri Jeshi)
b) alikuwa Kiongozi wa Nchi za mstari wa mbele zilizokiandaa mauaji ya Wakoloni Msumbiji, Angola...
Correct English should be "approximately 15 mins on foot" - JF tunaelimishana sio kukosoana.
Wewe ndio mwenye shamba, nokoa au middle person? Kwa ye yote anayehusika, tupatie contact yake - simu au barua pepe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.