Iran's First Vice President in Tanzania

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Iran's First Vice President in Tanzania
TEHRAN (FNA)- Iranian First Vice President Parviz Davoudi arrived early Monday in the Tanzanian capital city of Dar es Salaam.

A0592255.jpg

Davoudi, upon arrival, was welcomed by the Tanzanian president's advisor and a number of other officials.​

Later on Monday, the Iranian first vice-president will be officially welcomed by his Tanzanian counterpart Ali Mohamed Shein.​

According to the Islamic republic news agency, Davoudi is planned to meet with Tanzania's President Jakaya Mrisho Kikwete as well as the country's prime minister to confer on the issues of mutual interest.​

He is also scheduled to meet with a number of Tanzanian businessmen and deliver a speech to a group of students and ulema of that country.​

Heading a ranking delegation, Davoudi arrived in South Africa on May 9 on the first leg of his two-nation African tour which has taken him to the mainland Tanzania.​

He will also visit Tanzania's Zanzibar.​

Fars News Agency :: Iran's First Vice President in Tanzania
 
Hivi kweli kuna dalili wakati huu wa JK Tz tumekuwa zaidi karibu na Iran kuliko wakati BWM, AHM na JKN!

Huna sababu zozote?
 
Amchukue raia wake Rostam Aziz aende nae.... Hatumtakiiii.... ni mwizi......

Unacho kisema hapa ni sawa wachezaji mpiza kumlaumu kipa ,awakisahau kuwa wao wapo 10 kwa pamoja wakati kipa yupo peke yake na lango ,hivi Rostam aliwezaje kutowa hizo pesa na kama sio hao viongozi mliowachaguwa kwa ushindi mkuwa (chaguo la Mungu)?
 
Hivi kweli kuna dalili wakati huu wa JK Tz tumekuwa zaidi karibu na Iran kuliko wakati BWM, AHM na JKN!/QUOTE]

Iran tumekuwa nao TZ miaka yote, hata ndio waliotukwamua wakati wa "ukame" wa mafuta Awamu za nyuma. Pia wana mashamba ya mpunga Rufiji ambayo ni ya miaka mingi tu.

Ukaribu ambao tunaushangaa (hata Majirani zetu wanastuka) ni wa hao Magringo. Marekani ambayo sio tu wana Ubalozi mkubwa zaidi na wenye ngome kama Fort Knox hapa Dar lakini FBI wanatuingilia mpaka jikoni mwetu kuwakamata raia wa TZ kwa makosa ya humu nchini. Pia umeanza ushirikiano wa karibu sana sana na Makachero wao pamoja na Jeshi la Marekani lililopo Djibout (Horn of Africa) hadi mafunzo ya wanajeshi wetu siku hizi Alhamdulillah ni huko US (Usafi wa Sura ila Ubaya wa Siasa).

Huyu Marekani ndio anastahili kumtuhumu maana ana manowari zake na vituo vya majeshi ulimwenguni kote, anakalia nchi za wanyonge kwa mabavu na anawaua watoto/wanawake bila kulaaniwa na Umoja wa Mataifa wala Umoja wa Afrika. Jamani, huu UDINI TZ unatupeleka pabaya: tukiwa tunaangalia rafiki kwa dini yake au msaada unatokea nchi ya dini gani tutafikia njia panda wakati Myahudi itabidi tumsusie maana yeye hamtambui Yesu (A.S.) wala Muhammad (S.A.W.) lakini ndiye anayeikalia na kuitawala sehemu Tukufu (Jerusalem) ya Wakristo na Waislamu!
 
Iran ni marafiki zetu wa siku nyingi. Rostam alinunua deni la wa Iran . Yeye yuko karibu na wa Iran
 
ingekuwa kaja Papa from Vatican mngetia neno au basi tuu?

Papa na Makamu Rais wa Iran wapi na wapi??? Hivi Rais wa Iran tangu lini kawa kiongozi mkuu was dini ya Kiisalam duniani??? Hivi RA anashambuliwa kwa sababu ya Uislamu wake??? Mbona mwatukanganya wana JF mweee!!!!
 
Back
Top Bottom