Plots & Properties for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plots & Properties for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ExpertBroker, Jun 5, 2009.

 1. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We actually deal with various prime lands in prime region areas of DSm, Arusha, Mwanza, Mbeya and Dodoma. Plots are for:-
  · Housing estate (single storey structures, apartments, town house or villas, low cost houses/medium/high end?)
  · Office tower?
  · Shopping mall or
  · Hotel and conference facilities development?
  With the new legislations on property ownership being in place, namely Unit Titles Act(Condominium law) of 2008 and Mortgage financing Act of 2008, Acquiring a land for developing residential units for sale to individuals preferably employees is highly recommended.
  Some of plots we have in our Database
  1. – Kerege/Mapinga in Bagamoyo near Bunju-42acres of land
  2. 257 acres of a land at Kiromo area Bagamoyo with clean title,99yrs user commercial& residential . With this land you can develop a self sustained city with all the required amenities including residential complex (more than 1000units), shopping mall, five star hotel, conference facilities, office park, school, service station, hospital. With the in pipeline projects in Bagamoyo including the airport and harbour, this is a not to be missed opportunity!
  3. 51 acres beach plot in Ununio for residential & commercial, but more preferably hotel and conference facilitydevelopment, taking into account that TANROAD is planning to put up a tarmac road which overlooks the plot in the next financial year. The roads connects the Kunduch/Bahari beach road and Bagamoyo load at Boko.
  4. Hotel property located directly at the Indian Ocean, Dar es Salaam in Mbezi beach. There is a large plot just opposite with zoning and planning consent for a 60 to 100 Bedroom hotel.The plot overlooks a lagoon whereas the existing hotel back towards the sea with own private beach. This hotel is in its current operation.
  5. 9,510sqm (more than two acres) in Njiro, Arusha which also ideal for housing estate or hotel development.
  6. Four Residential plots in Mbweni- DSM, 1639sqm, 1191sqm, 1294sqm and 1580sqm
  7. Double storey home set in a tranquil location in the art of bahari beach. Resting on a super low density plot along a tarmac road to famous bahari beach hotel. The land can more be developed for more residential units esp apartments.
  8. More beach plots in Bagamoyo if interested
  9. Various land starting from 5 acres in areas of Tegeta, Boko and Bunju
  10. Kijitinyama Dar es Salaam behind Inter-House, Millenium Tower neighborhood, the plot has 1057sqm
  11. Makumbusho area just off Bagamoyo road but with good frontage, near Media council of Tanzania, size 750sqm
  12. Mwanza City centre plot, size is 1200sqm, suitable for office tower! There is high demand for office accommodation in Mwanza.

  All of our plots/properties have got clean titles and we may help to do further due diligence if asked to do so.

  Being professional land economists, we give advice on the highest and best use of land to our Clients.


  Nitumie private msg ama email goldshep@gawab.com
   
 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu ...nyie mna tovuti lenu lenye picha za hizi nyumba na viwanja? Ingekuwa vizuri zaidi utuwekee bei zake pia.
  Mimi natafuta kiwanja Mbezi Beach ila sipo tayari kulipa zaidi ya 40M. Sina haraka..nitasubiri sana tu!! subira yavuta heri (kama ni kweli)!!
   
 3. K

  Kjnne46 Member

  #3
  Jun 5, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Tangazo hili halina tofauti yo yote na yale tunayoyasoma katika "Sell & Buy", "Advertise DAR" au booklets zingine zinazotangaza biashara. Watanzania inabidi tuwe wabunifu wa "kuonyesha na kuiuza expertise" yetu tuliyonayo kwa kina zaidi na bayana. Maelezo hayo yoote yangetosheleza iwapo ExpertBroker angeandika ktk website yake yenye picha, maelezo ya nyumba/viwanja, locations, bei zake na contacts (simu/email).

  Pia umefikia wakati muafaka wa Estate/Property owners and Agents KUJENGA NYUMBA kisha kuziuza ama kuzipangisha/kuziuza (purchase-tenant schemes) kama vile yanavyofanya makampuni/mashirika ya Kenya (HFCK, Nairobi City Council, n.k.). Ununuzi wa viwanja, kupata hati na usimamizi wa ujenzi hapa Nchini ni usumbufu mkubwa na umejaa ufisadi kiasi cha kukatisha tamaa sisi wajenzi wadogo. Hebu jaribu kubadili tangazo lako na utupatie "mtandao wenye hadhi ya kitaalam" pamoja na templates za application forms, etc. ili tunaohitaji viwanja/nyumba tuanze kuchangamkia mara moja.
   
 4. M

  Mshika Moja Member

  #4
  Jun 5, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wachangiaji kuwa tangazo hilo halijakaa kitaalamu, maana mambo ya real estate ni magumu na utapeli ni mwingi, transfer procedures kule ardhi ni ufisadi na wizi mtupu. Tangazo lazima liwe na vigezo vya kutosha ili kupunguza maswali nk.

  Hivyo, website ingekuwa na information ambayo ni comprehensive enough, ili wenye interest wafanye evaluation na decision.
   
 5. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Tunaandaa website mkuu, so nimeona bora niwarushie tangazo wakati website inaandaliwa. Hata hivyo nimetoa email yangu.
   
 6. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Utapeli ni unakuwepo kama ukipenda short kati na kutohusisha wataalam. We do due diligence for you! Nitumie email yangu kama ilivyo hapo juu. KARIBU.
   
 7. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Watu wengine bwana!!!!!!!!!! Sasa mkuu Kjnne46 ni kwa kina kipi ulitaka EB aitangaze biashara yake? au kwa ubunifu upi? Kwako ubunifu ni kumiliki website? Vpi kama angebandika tangazo lake kwenye nguzo ya Tanesco ama mbuyu? Leo hii kaileta JF unasema hana ubunifu wa kuonesha expertise yake? Au ndugu ni mpinzani? ama unaongeza idadi ya posts ili mradi umechangia?

  Tusiwavunje moyo wajasiriamali wanaojikwamua kutokana na umasikini! Mimi kama mjasiriamalishupavu namuunga mkono EB, na kamwe asife moyo! Watanzania tumekuwa hatuendelei kama wenzetu wenye asili ya ki-Asia hapa nchini kutokana na kupigana vita wenyewe kwa wenyewe ama kukatishana tamaa kama alivyo Kjnne46! Unasema aweke simu ama email, mbona kaweka email yake (glodshep@gawab.com) Umemtumia hukujibiwa, kama ndo hilo then ulete hoja lakini emai yake ipo wazi.

  Tuache western mentality kwamba bila kuwa na website, you are not a serious bussinessman! Vilevile EB katwambia yeye ni broker (dalali), sasa kumwambia ajenge nyumba auze kama wafanyavyo NHC na NSSF, hapo unanichanganya mwanawane!

  Sitakuwa mnafiki kwa kusema ukweli esp kwa watanzania wanaopenda kuwakatisha tamaa wenzao!
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Maoni ya Kjnne46 nimeyapenda. Ameongea kwa jazba kidogo lakini maoni yake yanajenga. Usanii kwenye swala la ardhi bado utaendelea kutuumiza.
   
Loading...