Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

Mkuu haya siyo yale yale ya "Mwalimu ni Mtutsi?" Ama hizi ni habari mpya?

La hasha, hii si yale yale ya Nyerere ni Mtutsi, hadithi za Kambona alipokuwa analipiza kisasi baada ya kuambiwa yeye ni Mnyasa na kunyang'anywa pasi ya kusafiria na utawala wa Ali ili kumfurahisha Julius.

Hiyo habari aliyotoa Blue Ray hapo ni mara ya kwanza kabisa unaisikia hadharani.
 
Si hilo tu miongoni mwa marubani waliofariki mpya wake alikufa pale wanajeshi watu walipotungua ndege yake wakidhani ni ya nduli Amin pale Musoma.
Leo hii ndo tunaona umuhimu wa mwalimu,hatukumwelewa alipo wakoromea Kikwete na Lowasa waliporudisha fomu za kugombea urais.Mkapa amemwangusha kwa mambo aliyoyatenda hasa baada ya mwalimu kufa.
Nini hatima ya Tanzania?

Samahani wadau nilimaanisha mpwa wake siyo (mpya).
 
..mwalimu alikuwa anajenga ujamaa kwa vitendo.,,hata alipotangaza vita vya kagera hakupeleka watoto wa walalahoi pekee ...

“Mtakatifu” HAUWI, hashiriki mauaji wala kuamuru mtu kuuawa kama:
a) Nyerere alivyowaua Waganda na Wa-nigeria na baadhi ya Watanzania kufa katika vita vya Uganda na Biafra (yeye akiwa Amiri Jeshi)
b) alikuwa Kiongozi wa Nchi za mstari wa mbele zilizokiandaa mauaji ya Wakoloni Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Afrika ya Kusini, n.k. kupitia Vyama vya Ukombozi vilivyokuwa na makao makuu Dar. Hata ndege za ATC zilishiriki kupeleka silaha za kijeshi Shelisheli miaka ya ‘80 kwa green light yake binafsi
c) alisaini KUNYONGWA KWA SAIDI MWANDIMU, mkulima wa Kihesa Iringa lakini alimsamehe mkewe Liundi aliyewaua watoto wake (ndugu zake Taji Liundi) watatu kwa kuwapa sumu mwaka 1977.

A SAINT NEVER KILLS OR CONDONES BLOOD SHEDDING OF ANY SORT! NYERERE VIOLATED THE 6TH COMMANDMENT AND THEREFORE COMMITTED A GRAVE SIN AGAINST THE TORAH AND BIBLE!!

Jmushi1

Quote:
John Paul the second naye wanafanya tathmini kuona kama wataweza kumpa usaint,at least Benedict ana support hilo...Sasa mwalimu kuwa saint,je ni saint wa catholic ama wa Tanzania? Kama usaint unapatikana base on utumishi,then Mwalimu aliwatumikia wakatoliki ama watanzania wote? Unquote

MASWALI HAYA MAWILI HAYAJAPATA MAJIBU HUMU JF. Hebu tufafanulieni tumweleweje Nyerere – alikuwa mtumishi wa Watanganyika/Watanzania ama full time mtumishi wa kanisa la roman catholic na ndio maana akafungua ubalozi wa vatican Dar wakati serikali yetu haina dini??
 
nimejingea tabia ya kuwaepuka watu
1. WALIO-JOIN SIKU NYINGI ILA POST CHACHE....!
2. WANAO-POST NA KUPOTEA
3. POST CHACHE NA ZILIZOJAA UTATA (si lazima sana)
4. wenye yote hapo juu na pia wabaguzi
 
“Mtakatifu” HAUWI, hashiriki mauaji wala kuamuru mtu kuuawa kama:
a) Nyerere alivyowaua Waganda na Wa-nigeria na baadhi ya Watanzania kufa katika vita vya Uganda na Biafra (yeye akiwa Amiri Jeshi)
b) alikuwa Kiongozi wa Nchi za mstari wa mbele zilizokiandaa mauaji ya Wakoloni Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Afrika ya Kusini, n.k. kupitia Vyama vya Ukombozi vilivyokuwa na makao makuu Dar. Hata ndege za ATC zilishiriki kupeleka silaha za kijeshi Shelisheli miaka ya ‘80 kwa green light yake binafsi
c) alisaini KUNYONGWA KWA SAIDI MWANDIMU, mkulima wa Kihesa Iringa lakini alimsamehe mkewe Liundi aliyewaua watoto wake (ndugu zake Taji Liundi) watatu kwa kuwapa sumu mwaka 1977.

A SAINT NEVER KILLS OR CONDONES BLOOD SHEDDING OF ANY SORT! NYERERE VIOLATED THE 6TH COMMANDMENT AND THEREFORE COMMITTED A GRAVE SIN AGAINST THE TORAH AND BIBLE!!

Ndugu yangu Kjnne46,
Wewe umesoma Biblia gani? Unamfahamu Saulo? Aliua Wakristo wangapi na
leo tunamwita Mtakatifu Paulo? Hiyo ya Torah sijui kwani sijaisoma.
 
Jitihada za kumfanya Nyerere mtakatifu zitawafanya watu wanaomjua vizuri waanike maovu yake yote.

Tusitake kumpa mtu ukuu asiokuwa nao.Mimi ningeiona familia ya Nyerere ina akili sana kama wangekataa baba yao kufanywa mtakatifu, washapata urais na sehemu katika historia ya kisiasa Tanzania, bado haiwatoshi tu sasa wanataka utakatifu nao?
 
mwalimu pia aliwalea watoto wake ktk maadili mema na maisha ya kawaida, tunaona hapa anazungumzia NAULI ZA DALA DALA KUPANDA , SASA ANACHAPA MGUU.....! SO SAD TO ME!!!!!

Kuna ubaya gani kuchapa mguu badala ya kupanda daladala? Anaitunza afya yake vizuri kuliko hao wanaoshinda kwenye Mashangingi.
 
Jitihada za kumfanya Nyerere mtakatifu zitawafanya watu wanaomjua vizuri waanike maovu yake yote.

Tusitake kumpa mtu ukuu asiokuwa nao.Mimi ningeiona familia ya Nyerere ina akili sana kama wangekataa baba yao kufanywa mtakatifu, washapata urais na sehemu katika historia ya kisiasa Tanzania, bado haiwatoshi tu sasa wanataka utakatifu nao?
Blueray,
Kama mnayajua mabaya ya Nyerere yaanikeni tu, hapa ni pahali pake. Kanisa nalo linaendelea na mchakato wa kuanika mazuri yake, kwa hiyo hamna lililoharibika.
 
Kwa ujumla sioni hii interview inatoa kitu gani kipya. Kuhusu watoto wa Mwalimu kutotaka madaraka, kwa upande wangu sioni kuwa hiyo ni hoja ya wao kuwa humble.

Hiyo hoja inadhihirisha fikra zangu sahihi kuwa Ujamaa sucks. Mwalimu alifanya majaribio ya Ujamaa kwa familia yake na matokeo yake ni kuwa
familia yake sio competitive.

Labda wajukuu zake watakuja kuchakalika.
 
Zakumi,

Hapa kuna a classic dilemma kwenye familia ya Nyerere.

Upande mmoja mnawaona hawako competitive -kwa lugha rahisi wamezubaa-

Upande mwingine wangechangamka na ku push ma BMW kama mtoto wa muungwana watu wangewaita mafisadi.

What's a president's son to do? Mie ndiyo maana nimekataa kumuita mtoto wa muungwana fisadi just because ana push BMW.
 
Hiyo ku-push BMW ni yako. Pamoja na mimi kupinga siasa za zake nakubali kuwa Mwalimu alikuwa formidable intellectual force.

Hivyo ni lazima nyumbani kwake kulikuwa na vitabu au mwamko fulani, lakini hicho kitu sikioni.
 
Hapana hii ya BMW si yangu, imewekwa hapa na wadau.

Nyerere kawarithisha watoto wake udumavu wa ujamaa, na "ugumu" na kufikiri umasikini -kukosa nauli ya daladala na kutembea kwa mguu- ni kitu cha kujivunia.

Ukiwasikiliza vizuri utaona baadhi wakiwa katika form wanaweza kuwa idealist wazuri, lakini kama utopia ya baba yao ilivyoshindwa hamna hata mmoja ambaye ameweza kuanzisha ki foundation au kitu concrete, wameishiwa kuwa watawa -urithi wa dini- au wakulima/wanavijiji tu.

Kweli huwezi kuwalaumu kwa ufisadi, lakini at the same time huwezi kuwasifu kwa industriousness.
 
Last edited:
Hapana hii ya BMW si yangu, imewekwa hapa na wadau.

Nyerere kawarithisha watoto wake udumavu wa ujamaa, na "ugumu" na kufikiri umasikini -kukosa nauli ya daladala na kutembea kwa mguu- ni kitu cha kujivunia.

Ukiwasikiliza vizuri utaona baadhi wakiwa katika form wanaweza kuwa idealist wazuri, lakini kama utopia ya baba yao ilivyoshindwa hamna hata mmoja ambaye ameweza kuanzisha ki foundation au kitu concrete, wameishiwa kuwa watawa -urithi wa dini- au wakulima/wanavijiji tu.

Kweli huwezi kuwalaumu kwa ufisadi, lakini at teh same time huwezi kuwasifu kwa industriousness.

Yeap classic dillema: Huwezi kuwalaumu kwa ufisadi, lakini at teh same time huwezi kuwasifu kwa industriousness
 
Hapana hii ya BMW si yangu, imewekwa hapa na wadau.

Ukiwasikiliza vizuri utaona baadhi wakiwa katika form wanaweza kuwa idealist wazuri, lakini kama utopia ya baba yao ilivyoshindwa hamna hata mmoja ambaye ameweza kuanzisha ki foundation au kitu concrete, wameishiwa kuwa watawa -urithi wa dini- au wakulima/wanavijiji tu.

Usiwahukumu wote. Madaraka hivi sasa ndiye anayesimamia miradi ya familia Butiama. Makongoro anahenya na ujasiriamali. Give him time, nimeongea naye
karibuni nilipokuwa home, he has good ideas, akifanikiwa atafanikiwa kwelikweli.
 
Kashachelewa sasa hivi, fainali uzeeni inagonga hodi tayari.Miradi ya familia miradi gani, ya kufuga ng'ombe?

Familia kama ile ilitakiwa kufanya kitu substantive Tanzania, mimi sioni kama wanaweza kufanya kitu cha level ya nguvu kwa sababu Mzee wao hajawatayarisha kuwa enterpreneurs.In fact hajawatayarisha kuwa chochote.

On the one hand unaweza kumsifu, kwamba hakuwa na pupa za kibiashara wala tamaa za kuweka familia mbele.

On the other hand unaweza kumlaumu kwamba hakuonyesha mfano mzuri wa kuukimbia umasikini katika familia yake kama rais.
 
Mimi ningeiona familia ya Nyerere ina akili sana kama wangekataa baba yao kufanywa mtakatifu, washapata urais na sehemu katika historia ya kisiasa Tanzania, bado haiwatoshi tu sasa wanataka utakatifu nao?

Familia ya Nyerere ni nani kabaki? Madaraka ndie spokesman sasa hivi ambae nae amesha anza kupoteza gololi.

Madaraka anasema Baba yake ni mpenda amani ambaye angekuwepo angeshamsamehe Amini. Baba yake si mtu wa kusamehe maadui, hakwenda hata kwenye msiba wa Kambona, mpaka Makongoro akaona aibu akaenda.

Madaraka anatoa misahama kwa waanzilishi wa vita vya Kagera eti kwa vile ni mambo yalitokea zamani. Anadhani vile ni vita kati ya baba yake na Amin. Watu wamekufa kwa ajili ya kutetea nchi, na kwa kuheshimu siasa na matakwa ya Amiri Jeshi Mkuu. Havikuwa visa vya wanaume wawili kugombea kimada vile.

Lakini sitegemei Madaraka awe amerithi na kujifunza mengi kutoka kwa baba. Ameiambia BBC kwamba Nyerere alikuwa anawafunga midomo kujadili maswala ya kazi yake na siasa wakiwa kwenye meza ya chakula. Madingi wetu wa Kibongo tena, mambo ya kazi ni mambo ya kikubwa. Watoto hakuna kuuliza uliza mambo ya kikubwa.

Makongoro nae alishaanza kupoteza gololi kwenye pombe, akarudi CCM. John anaumwa, kafungiwa ndani maisha yake yote. Magige mwanakijiji Butiama ambako hata radio signals hazifiki, hayuko in touch na nini kinaendelea duniani. Rosemary na Mama Maria wanawasikiliza Madaraka na Makongoro, mfumo dume.

Anaefuatia, ambae bado hajapoteza goroli pale, ni Butiku. Lakini Butiku nae hawezi kujifanya kama ni mtoto wa Nyerere, inabidi aende ende na kina Makongoro wanavyotaka, japo siku zote kina Makongoro walikuwa hela yao ya kula anaishika Butiku, Kambarage hakuwa na muda na watoto. Sasa kwa Butiku, Makongoro hawezi kuwa mtu huru, alishahongwa hongwa fadhilia na Mkapa, mlezi wa familia. Mkapa ana bifu la damu na Butiku, maana Nyerere alipokufa Mkapa akawaweka pembeni watu wa Nyerere, Butiku hakupenda, akaona huyu afisa wa mambo ya nje asiye na jina tumempandisha kwenye magari ya wazi kumuuza Tanzania nzima leo hanisikilizi? Akamwita Mkapa fisadi hadharani. Kumbe Mkapa aliwahi kumnunua mmoja wa familia akijua atamhitaji mbeleni. Mgawanyiko. Makongoro na Mkapa na Butiku na Madaraka. Mkorogo wa uongozi pale Butiama.
 
Last edited:
Usiwahukumu wote. Madaraka hivi sasa ndiye anayesimamia miradi ya familia Butiama. Makongoro anahenya na ujasiriamali. Give him time, nimeongea naye.

karibuni nilipokuwa home, he has good ideas, akifanikiwa atafanikiwa kwelikweli.

Jasusi:

Mwambie Makongoro nimetumie Ujasiriamali 101.
 
Familia ya Nyerere ni nani kabaki? Madaraka ndie spokesman sasa hivi ambae nae amesha anza kupoteza gololi.

Madaraka anasema Baba yake ni mpenda amani ambaye angekuwepo angeshamsamehe Amini. Baba yake si mtu wa kusamehe maadui, hakwenda hata kwenye msiba wa Kambona, mpaka Makongoro akaona aibu akaenda.

Madaraka anatoa misahama kwa waanzilishi wa vita vya Kagera eti kwa vile ni mambo yalitokea zamani. Anadhani vile ni vita kati ya baba yake na Amin. Watu wamekufa kwa ajili ya kutetea nchi, na kwa kuheshimu siasa na matakwa ya Amiri Jeshi Mkuu. Havikuwa visa vya wanaume wawili kugombea kimada vile.

Lakini sitegemei Madaraka awe amerithi na kujifunza mengi kutoka kwa baba. Ameiambia BBC kwamba Nyerere alikuwa anawafunga midomo kujadili maswala ya kazi yake na siasa wakiwa kwenye meza ya chakula. Madingi wetu wa Kibongo tena, mambo ya kazi ni mambo ya kikubwa. Watoto hakuna kuuliza uliza mambo ya kikubwa.

Makongoro nae alishaanza kupoteza gololi kwenye pombe, akarudi CCM. John anaumwa, kafungiwa ndani maisha yake yote. Magige mwanakijiji Butiama ambako hata radio signals hazifiki, hayuko in touch na nini kinaendelea duniani. Rosemary na Mama Maria wanawasikiliza Madaraka na Makongoro, mfumo dume.

Anaefuatia, ambae bado hajapoteza goroli pale, ni Butiku. Lakini Butiku nae hawezi kujifanya kama ni mtoto wa Nyerere, inabidi aende ende na kina Makongoro wanavyotaka, japo siku zote kina Makongoro walikuwa hela yao ya kula anaishika Butiku, Kambarage hakuwa na muda na watoto. Sasa kwa Butiku, Makongoro hawezi kuwa mtu huru, alishahongwa hongwa fadhilia na Mkapa, mlezi wa familia. Mkapa ana bifu la damu na Butiku, maana Nyerere alipokufa Mkapa akawaweka pembeni watu wa Nyerere, Butiku hakupenda, akaona huyu afisa wa mambo ya nje asiye na jina tumempandisha kwenye magari ya wazi kumuuza Tanzania nzima leo hanisikilizi? Akamwita Mkapa fisadi hadharani. Kumbe Mkapa aliwahi kumnunua mmoja wa familia akijua atamhitaji mbeleni. Mgawanyiko. Makongoro na Mkapa na Butiku na Madaraka. Mkorogo wa uongozi pale Butiama.

Mkuu mengi hapo juu hata kama sikubaliani nayo,bado inaoenekana una insight nzuri,ningependelea watu wenye mawazo tofauti na hayo hapo juu waje na data zenye ku convince...Uzuri wa JF hapa shilingi pande zote, duh! Haya...Mjadala uendelee.
 
Back
Top Bottom