Taylor asilimu kuwa Myahudi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taylor asilimu kuwa Myahudi!

Discussion in 'International Forum' started by MzalendoHalisi, Jun 2, 2009.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Raisi wa Zamani wa Liberia abadilisha imani toka Mkiristo kuwa Jew (Myahudi)!

  Amefanya hivi kule The Hague- ICC ambapo ameshtakiwa kwa mauaji!


  What could be the motives for U turn ktk Imani yake?
   
  Last edited: Jun 2, 2009
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kabadili kutoka ukristo kwenda Uyahudi - Kusilimu ni kwenda dini ya kiislamu au ?
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio dini gani? na kuslimu ni kutoka dini nyingine kwenda kwenye uislamu.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kumradhi: kuslimu nilimaanisha kubadili Imani ya Dini!
   
 5. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna tatizo, watu wengi wakiwa kwenye matatizo uwa wanabadirisha dini au wanakuwa wacha Mungu zaidi.Charles Taylor nadhani ameamua kujirudi baada ya madhambi yote aliyofanya.

  Judaism kwa kiswahili inaitwaje?
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Jun 2, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  huyu ndio alikata masikio ya samwel doe na kumtembeza mitaani
   
 7. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Corrections, Samuel Doe aliuwauwa akiwa chini ya Prince Johnson(jamaa aliyekuwa anakunywa bia aina ya Budweiser kwenye video wakati Samuel Doe anakatwa sikio).

  Kesi ya Charles Taylor ni kwua aliwasaidia waasi wa RUF nchini Sierra Leone.
   
 8. K

  Kjnne46 Member

  #8
  Jun 6, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mrs. Victoria Addison Taylor’s revelation about her husband’s conversion to Judaism in the Liberian Heritage of June 3, 2009 under the title CHARLES TAYLOR JOINS JUDAISM made a sensational headline in that Newspaper (browse www.heritage.com.lr) and Breaking News to the whole world. She was also interviewed by BBC World Service on the same subject. What Taylor has done is quite a familiar transformation of prisoners who are in jail and some of us are not surprised to hear this sort of 're-birth' from someone facing serious Criminal charges against Humanity at the Hague!

  However, Mrs. Taylor’s statements in the exclusive interview have THREE VERY CONSPICUOUS FACTUAL MISTAKES, namely:

  1. "…..her husband has not rejected Christianity, noting that he has nothing against Christianity.” Does she really know what she is talking about? At the beginning of the interview “she disclosed that her husband has been converted from Christianity to Judaism, then HOW CAN TAYLOR NOW BELONG TO BOTH RELIGIONS (contrary to her own words)??

  2. Judaism is the religious culture of the Jewish People and makes up the cultural system of Jewish law, custom, and practice of the whole individual and community. Whereas in the New Testament and the Christian church, Jesus is regarded as divine, the son of God, the Messiah, but in sharp contrast, Jews believe Jesus was simply a man - period. Also, in Judaism, the Messiah or the Anointed One is the Hebrew name for the promised deliverer of humanity. Christians accept Jesus Christ as the Messiah. However, the Jewish religion contends that the Messiah is yet to come and Jesus Christ was just another prophet.

  3. Judaism teaches that Jesus was a Jew who was born in Bethlehem, raised in Galilee, and killed in Jerusalem after he angered the Roman government as they considered the ideas he preached to be dangerous. As a result, the Romans arrested Jesus during his Passover trip to Jerusalem. Then the Romans, upon the order of the Roman procurator, executed Jesus. Judaism does not revere the Cross nor does it recognize the Resurrection episode after his death. In fact, Judaism calls Jesus an “Impostor” and was NEITHER God, nor Begotten Son of God, nor a Messiah.

  Therefore, how can Charles Taylor practise Judaism (which is totally 100% anti-Christianity) and remain a true Christian at the same time??
  YOU BE THE JUDGE…..

  Huyu Victoria anaelekea ni "Maimuna" na haijui hiyo Judaism ni nini kama ilivyo Watanzania wengi. Hata JF yupo mwanachama aliwahi kudadisi juu ya dini hii kwani alidhani ni moja ya madhehebu ya Kikristo kwa kuwa ni dini ya Mayahudi (Jews) na ndio wanaolinda Bethlehem na Jerusalem. Little do they know that the Israelis are playing the political game and indocrinating Western leaders like Bush into the so-called Judo-Christianity, a marriage which does not exist and will never ever be acceptable to either the churches or rabbis.

  Kwa kweli kama mihadhara ya Judaism ingekuja Tanzania, sijui iwapo Wakristo wangelalamika kuwa WAYAHUDI WANAMKASHIFU YESU kwa maana katika kitabu chao kitakatifu, TORAH, "Yesu si mungu, si mtoto wa mungu, na wala si masiha". Hayo sio maneno yangu, someni Source:
  http://judaism.about.com/od/beliefs/a/jesus.htm
  http://judaism.about.com/od/jewishviewofjesus/Jewish_View_of_Jesus.htm
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  KJJNE46 umeanza vizuri lakini mwisho nikaona jazba imeanza kupanda na kuanza kutoka nje ya topic na kuanza, kuuchambua ukristo mpaka kufikia hatua ya kuweka websites hapo, lakini swali kwako ni hili, pamoja na wayahudi kumkataa Yesu kama anavyokubalika kwa wakristo wewe kwa mtazamo wako unadhani wao ndio wako sahihi kuliko wakristo wanavyomchukulia Yesu
   
 10. K

  Kjnne46 Member

  #10
  Jun 6, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina mtazamo binafsi ila yale yaliyomo katika Surah ya 3 ya Qur'an, yaani AL-IMRAN inayoelezea uzawa wa Yesu pamoja na maudhui mengine. Ndio maana, nimemalizia kwa kumwomba msomaji, "YOU BE THE JUDGE".
   
 11. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  watu wengi wanabadilisha dini kutoka na matatizo hasahasa matatizo hayo yanapowachanganya akili hadi kuwa wehu.mbona hata MKE wa ABDALLAH ZOMBE ameokoka now na kuwa mtumishi wa bwana baada ya kuona mambo mazito
   
 12. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Former Liberian dictator Charles Taylor, currently imprisoned at the Hague awaiting trial for war crimes in Sierra Leone, has apparently decided to convert to Judaisim, one of his wives tells BBC radio:

  Q. So he's now a practicing Jew?

  A. He's now a Jew. He's practicing Judaism.

  Q. Tells us about that? What led him to that?
  A. Because of the difficulties, he always wanted to know God in a very diffent and special way. From a very small boy -- because we talk about his childhood a whole lot -- he asked himself questions about Christianity. Too many questions about why certain things happened. And why, this one and that one. Just too many question in Christianity and the whole thing about Christ because he does believe in Christ. When he got to the Hague, he got to know that he really, really wanted to be a Jew. Wanted to convert to Judaism. And that...

  Q. Does that mean he has rejected Christianity then? Because that's quite a radical departure.

  A. No, no, no he hasn't rejected Christianity. He has always been a Christian. He just decided to become a Jew. He wants to follow the two religions.

  Source: Charles Taylor converts to Judaism | FP Passport


  Nadhani mke wake amechanga'anya mambo,KUTOKANA NA MAELEZO HAYO NI KUWA TAYLOR HAJABADILIHA DINI,YEYE BADO NI MKRISTO ANAYEABUDU SASA KWA KUFUATA TARATIBU ZA IBADA ZA KIYAHUDI,kwa lugha nyingine kama mkristo anajua ukristo ulichimbuka kutoka katika dini ya Kiyahudi kwani kina Yesu,Petro,Paulo na wengineo wote walikuwa huko,na kina Petro baada ya Yesu kupaa walimwamini Yesu huku bado wakiwa wanendelea pia kuabudu katika masinagogi yao ya Kiyahudi,hivyo Taylor anachofanya ni kujaribu kurudi kwenye misingi hiyo ya zamani,....Mkristo anayeabudu sasa kwa misingi ya kiyahudi,hicho ndio nilichokiona katika hili..
   
 13. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Why is it when someone is in trouble then all of a sudden they turn religious? Mtu aki patwa na matatizo ana kumbuka sasa kuwa kuna Mungu.
   
Loading...