Remember 22 october, 43 years ago??

Kjnne46

Member
Dec 4, 2006
69
2
DO YOU REMEMBER 22 OCTOBER, 43 YEARS AGO??

On 22 October 1966, the University College of Dar-es-Salaam at Mlimani was closed by the late President Nyerere and all students were sent home to their villages after they demonstrated up to IKULU against a Parliamentary Draft Bill to make National Service compulsory after one completed Secondary and higher education. Nyerere’s anger and final harsh decision on that day was aggravated by students’ remarks in their written “ULTIMATUM” which ‘compared’ this forceful labour deployment to ‘afadhali Mkoloni’s (mis)treatment of our ascestors’. However, the majority of students were allowed to resume their studies at the College in July 1967 after the Government sacked the ring leaders (including Comrade Kimulson) and, of course, had to lose one academic year.

History has now proved that the students’ objections and contentions were right as the National Service Law was repealed and scrapped off after over three decades of unsuccessful and lamentable operations. The JKT centres at Mafinga, Makutopora, Ruvu and others were but “concentration camps” except for the names. Living conditions in these camps were sadly deplorable and the ‘commanders or leaders’ were taught to torture the educated elite and NOT to mould them as disciplined reserve servicemen and women! Unfortunately, this was one of Nyerere’s fallacious ideologies and the Nation has learnt it the hard way but, regrettably, with immense loss of many man-years from that generation !!

Well, he is the Father of the Nation and ‘mtakatifu-mtarajiwa’ …….
 
Labda ukiwaambia wewe watakusikia, nikiwaambia mimi Nyerere kaua wanasema "it is just that godless Bluray".
 
History has now proved that the students’ objections and contentions were right as the National Service Law was repealed and scrapped off after over three decades of unsuccessful and lamentable operations. The JKT centres at Mafinga, Makutopora, Ruvu and others were but “concentration camps” except for the names. Living conditions in these camps were sadly deplorable and the ‘commanders or leaders’ were taught to torture the educated elite and NOT to mould them as disciplined reserve servicemen and women! Unfortunately, this was one of Nyerere’s fallacious ideologies and the Nation has learnt it the hard way but, regrettably, with immense loss of many man-years from that generation !!

Well, he is the Father of the Nation and ‘mtakatifu-mtarajiwa’ …….

Who's history are we talking about here? Waulize waliokwenda national service kama it was a waste of time. Mwulize Samuel Sitta kama historia imemprove Mwalimu wrong. Mwulize Iddi Amin kama historia imemprove Mwalimu wrong kwa kuanzisha national service. Walioiua national service walikuwa na ajenda zao na mojawapo ni kutoitakia Tanzania mema. Na ndio waliokithiri katika ufisadi na non-uzalendo. Unazungumzia historia ya nani hapa? Bado tupo, Blueray's comments notwithstanding.
 
Hivi mbona national service inafanywa na nchi nyingi tu tena kwa mafanikio? Tunaweza kujidanganya we have wasted time with Mwalimu lakini bottom line ni kuwa as individual we waste alot of time doing nothing but complaining as if that would make the things better.
Mwalimu aliwahi kutamka kuwa kama tunaona aliyoyafanya yalikuwa ni mambo madogo madogo muda ndio utakao thibisha kuwa hali haiko hivyo
 
Yeah I agree with Jasusi. Nenda Marekani ama Israel kama hutaambiwa hakuna program ya kuwapeleka vijana jeshini. Jeshi sio lelemama. Hata huyo mtoto wa Nyerere mwenyewe alipitia Jeshini. Muulize Makongoro. Unakumbuka nani alipoteza maisha pale uwanja wa Taifa katika maonyesho ya ndege za kivita baada ya kumng'oa nduli Amin? Kwame Nyerere. Alikuwa mtoto wa nani? Jamani tumuacheni mzee wa watu apumzike huko aliko.
 
mpaka leo nchi kama nigeria na ghana bado zina national service, badala ya kuua national serivce wao wameiongeza na kuhakikisha ina cover sehemu mbali mbali

national service zao zina cover ualimu, hospitali, benki, jeshi na sekta mbali mbali. kwa mfano ukimaliza university nigeria/ghana kama umesoma masomo ya science basi utapelekwa ukafundishe hesabu shule za vijijini kwa mwaka mmoja huku serikali ikikulipa kidogo kabisa, hii ni bora kuliko hawa walimu waliofeli form 4 wa voda fasta

Kjnne46
kila mtu aliyeenda national service ame enjoy, kama wewe uliona ile ni conc camp sikulaumu kwa ajili hujui conc camp ni nini
 
Kwame Nyerere siye aliyekufa pale National Stadium. Waliokufa pale ni Captains, Saidi Karama,[mkazi wa Kariakoo]aliyekuwa mwanafunzi wa Tambaza Sekondari,na Saidi Kikunda,aliyekuwa mwanafunzi wa Azania Sekondari[mkazi wa Sikonge,Tabora].
[Hawa watu,at the Stadium,they may have committed suicide,kwa sababu walikuwa wanabishana na daktari kuhusu results za medical tests walizofanya. Nakumbuka Karama alikuwa anasema,''I will soon be a dead man.'']
Kwame Nyerere[mtoto wa Joseph Kizurira Nyerere] committed suicide by jumping from a building.
 
Kjnne46
kila mtu aliyeenda national service ame enjoy, kama wewe uliona ile ni conc camp sikulaumu kwa ajili hujui conc camp ni nini
Semilong,
Thank you. Sijawahi kukutana na former national service member ambaye hakujivunia wakati wake huko. With lots of tales about afandes, etc.
 
Yeah I agree with Jasusi. Nenda Marekani ama Israel kama hutaambiwa hakuna program ya kuwapeleka vijana jeshini. Jeshi sio lelemama. Hata huyo mtoto wa Nyerere mwenyewe alipitia Jeshini. Muulize Makongoro. Unakumbuka nani alipoteza maisha pale uwanja wa Taifa katika maonyesho ya ndege za kivita baada ya kumng'oa nduli Amin? Kwame Nyerere. Alikuwa mtoto wa nani? Jamani tumuacheni mzee wa watu apumzike huko aliko.

Huko Greece ni miaka miwili ya shoka!!! I think kuna faida kubwa ya JKT, ila labda kwa sasa with HIV ndani ya nyumba.. then kuna haja ya ku-review mpangilio wake kuepusha matatizo kwa wanakambi, ugiriki wanaoenda ni wanaume tu!!
 
mshaishiwa hoja naona mnataka kujifananisha na baba wa taifa ambaye alidhamiria kujenga taifa la wazalendo wenye uzalendo wa nchi yao na si uzalendo kwa wawekezaji gadem zenu
 
JKT ingekuwa optional, ahalafu ingeendeshwa kiuchumi, halafu isingekuwa na abuse isingekuwa jambo baya.

Kutokuwa optional kuna represent totalitarianism na marks of a police / military state, kutoendeshwa kiuchumi kunaenda against principles za fiscal responsibility na kwa kweli kwa nchi masikini kama Tanzania hatuwezi kuafford pet projects zisizoenda kiuchumi, na kutokuwa na rampant abuse kungeipa moral authority.
 
Tell that to the Israelis too. You know what, had it been optional only watoto wa mapeasants waliokosa ajira ndio wangekwenda huko. Mwalimu alitaka iwe representative ya Watanzania wote. Na kwenye mambo ya kijeshi kila kitu hufanywa kitotalitarian. Hamna choice.
 
Unaiga Tembo kunya, mu Israeli ana Biblia inayokupa majina mpaka leo, wewe biblia yako inayompa majina muisraeli iko wapi?

Wewe unaweza kuilinganisha need ya a militant state ya Waisraeli na Tanzania?

Unaiona Tanzania kwenye headlines ngapi za military confrontation per week katika international media? Israeli je?

Usitake kufanya kitu kwa sababu tu Waisraeli wanakifanya.Kama hivyo kwa nini basi tusiwe na nuclear weapon na sie, Mmarekani analo, but is it really a priority to us?

Najua majasusi mnapenda the military-industrial complex, but how can you have a military-industrial complex before even having an agrarian revolution, let alone an industrian complex?

Tunataka kujitutumua saaana kuonyesha tumo wakati hii mi project inanyonya resources tu.
 
JKT ingekuwa optional, ahalafu ingeendeshwa kiuchumi, halafu isingekuwa na abuse isingekuwa jambo baya.

Kutokuwa optional kuna represent totalitarianism na marks of a police / military state, kutoendeshwa kiuchumi kunaenda against principles za fiscal responsibility na kwa kweli kwa nchi masikini kama Tanzania hatuwezi kuafford pet projects zisizoenda kiuchumi, na kutokuwa na rampant abuse kungeipa moral authority.

agreed, wangevutia watu kwenda na baada ya hapo unapewa status au favour fulani, then wanaokwenda na wasiokwenda wangeweza kushindana hapo.

JKT imekufa wakati Nyerere bado yupo what was his reaction?
 
Unaiga Tembo kunya, mu Israeli ana Biblia inayokupa majina mpaka leo, wewe biblia yako inayompa majina muisraeli iko wapi?

Wewe unaweza kuilinganisha need ya a militant state ya Waisraeli na Tanzania?

Unaiona Tanzania kwenye headlines ngapi za military confrontation per week katika international media? Israeli je?

Usitake kufanya kitu kwa sababu tu Waisraeli wanakifanya.Kama hivyo kwa nini basi tusiwe na nuclear weapon na sie, Mmarekani analo, but is it really a priority to us?

Najua majasusi mnapenda the military-industrial complex, but how can you have a military-industrial complex before even having an agrarian revolution, let alone an industrian complex?

Tunataka kujitutumua saaana kuonyesha tumo wakati hii mi project inanyonya resources tu.
Blueray,
Chill a bit. Nilichokuwa nasema ni kuwa katika mambo ya military hakuna democratic options, ndio maana nimetoa mfano wa Israel au hata Marekani before the Vietnam war. Unakumbuka vijana wengi wa Marekani walikimbilia Canada kuepuka compulsory military service. That's all what I was implying.
Na hata walipojaribu jeshi la hiari wamekuta kwamba ni watoto wa mafukara tu ndio wanaojiandikisha kwa kuahidiwa skolaship za bure watakapomaliza kutumika jeshini. Lakini option ya kurudisha draft bado iko vitabuni.
 
Back
Top Bottom