Recent content by Kitangawizi

  1. K

    Nimemzimia blackberry

    Mmm mambo ya jf majina yenyewe bandia unaweza kukuta unamzimia mkeo, mumeo, babio au adui yako.
  2. K

    Nimejiunga rasmi.

    Karibu, da umeingilia mapenzini.
  3. K

    Sasa nimeamini asali isiyochakachuliwa ni tiba murua kwa wanaume!

    Da hii imetulia tutawatafutia wapendwa wetu.
  4. K

    Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

    Du hii kali ye aende tu nyumbani na km mkewe ni km asha ngedere asubiri kudundwa, asirudie kuchakachua ndoa yake.
  5. K

    Naomba mnikaribise mimi mwenzenu Mfukunyunzi

    Karibu sana utufukunyulie ya huko utokako.
  6. K

    TIGO yazidi kufulia kanda ya ziwa/mwanza.

    Kwa kweli tigo imeleta usumbufu mkubwa hatuwasiliani na jamaa zetu.
  7. K

    Huyu mwanamke unaweza kuishi nae kweli?

    Cku akiamua kumfanyizia lazima atamgurudumu mara ya pili tena kwa kisu.
  8. K

    Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

    Jamaa laonekana linatokea mbeya.
  9. K

    Maisha yamenishinda!!

    we ucmfundishe mwenzio vibaya.
  10. K

    Ibilisi alinizidi nguvu nikambaka binti yangu jamani nisameheni....

    Hakimu katenda haki tena angemuweka maisha lupango km kamfanyia wakwake twajuaje wajirani zake ambao hawakusema kwa kuogopa fedhea, ngoja aende huko lupango akutane na ibilisi wenyewe naombea wakamuoe.
  11. K

    Sababu za wanaume kupenda nyumba ndogo.

    Wapo na wanawake waliopo ktk ndoa wanakwenda na wakati na wamekaa kinyegest na waume zao bado wenda small house hiyo ni hulka iso dawa na uzinzi juu yake.
  12. K

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Wanajf nijuzeni hivi huyu mzee mwenye nywele nyeupe kuna agenda gani ya siri ndani yake mbona siku hizi anajifanya yuko karibu na wananchi, leo nimesikia eti anakoromea hospital binafsi wasiotaka kupokea majeruhi wa g'mboto mi binafsi naona kuna kitu nawakilisha.
  13. K

    Naomba mwongozo wenu

    Kairibu yakhe humu utakutana na mamiss joto baridi itaisha, na muongozo umeupata hapo juu.
  14. K

    Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.

    We mzukie tu km unavyotongozaga wengine, dada yako atafurahi tu sababu utatoka kwenye urafiki na kuwa undugu atakuwa wifiye.
Back
Top Bottom