Sababu za wanaume kupenda nyumba ndogo.

Hili swali limekuwa linanitatiza sana.

Hivi ni kweli hicho ndo kinachowafanya wanume kutafuta small house?? SIDHANI.

Mimi nafikiri ni tamaa na kuchokana tu. Maana unakuta sometimes mwanamke/mwaume anamboa mwenzake mpaka anatafuta mpango wa nje. Unakuta mwanamke/mwanaume anaanza ulikuwa wapi kwanini umechelewa kutoka kazini amesahau wewe ni muhudumu lazima uwe wa mwisho kufunga milango yote ya ofisi baada ya kila mtu kuondoka. Sasa uanjikuta hata saa nyingine unafikiri hivi kwanini nisifanye kweli maana hii sasa ni kero jamaa limekusumbua unasema twende zetu tukajivinjari ha ha ha ha ukifika huko unabembelezwa kama ile siku baada ya ndo ulivyofanyiwa basi raha mstarehe utakumbuka home saa ngapi jamani msinukuu tafadhali maana hamchelewi.

Will be back

Wakuu,
Kumbe wivu ni sababu nyingine. Lol
 
Halafu wakuu pia msisahau hawa dada zetu nao kama ni wa magomeni au tandale kwa mtogole au kinondoni pia si wachoyo,,,,mitandao yote unapata bila wasiwasi......wakati ukiwa nyumbani mitandao kama ya tigo network zinakua hazipatikani.

Mkuu,
Naunga mkono hoja 95%.wadada Wengi wa pale kino sio wachoyo wa kutoa mitandao yote na huduma zao ni safi sana. Lol
 
Ni tamaa tu zinasumbua
hizo sababu hazina msingi hata kidogo.
Hivi wewe kama unaujua huo utundu kwa nn usishee na wife ,.

tatizo huo u2ndu ulikuwepo kabla hajaolewa ila akiolewa maujuzi yanaondoka.
 
Wapo na wanawake waliopo ktk ndoa wanakwenda na wakati na wamekaa kinyegest na waume zao bado wenda small house hiyo ni hulka iso dawa na uzinzi juu yake.
 
Huwa ni tamaa na uroho wa kuonja onja na ukisha zoea huwezi kuacha inakuwa hulka na tabia mbaya tu, kwani ukiweza kumtunza na kuweka mazinguira rafiki mahali unapoishi kwa maana nyumba au chumba chako kiwe kizuri na mahali pa kulala pawe pazuri na hata mwenza wako uliyeamua kuwa naye bila kulazimishwa umpende na kumtunza kwa unavyotaka vya nje hutavitamani. ila kama ni mroho toka kitambo utaendelea vivyo hivyo mpaka kiamani. heshimu utu wako unathamani na si kila mtu auone usiri wako(nyeti zako)

Mkuu,
Me nadhani ze problem sio kupenda kuonja bali ni kuondoka kwa maujuzi ulokuwa unapewa kipindi hamjaoana
 
1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana.
3-wanajua sana kudekeza na kuwajali wapenz wao.
4-wanavutia na wamekaa kinyegenyege.
5-wanatoa stress unazopatapa nyumbani.
Hizo ni baadhi tu, kama zipo za ziada ziweke hapa.
My take:- mke wa mtu sumu.

Wewe unafikiri ukimgeuza kama mkeo na kuanza kutaka tendo la ndoa free bado ataku-treat namna hiyo. Hizi treatment unazipata kwa sababu anajua baada ya mchezo unamwachia kitu kidogo na asipofanya cha zaidi atakupoteza na hivyo project yake inayompatia fedha itakufa. Kama nabisha nenda nyumba ndogo mara mbili tu bila kuacha kitu kama unavyofanya kwa mkeo then mara ya tatu umwambie sweetie nakuja ila sina chocho usikie atakwambia nini?
 
Wapo na wanawake waliopo ktk ndoa wanakwenda na wakati na wamekaa kinyegest na waume zao bado wenda small house hiyo ni hulka iso dawa na uzinzi juu yake.

Mkuu,
Kama wapo wa aina hiyo basi knw familia ina problm or amekunyegesha wewe. Lol
 
Wewe unafikiri ukimgeuza kama mkeo na kuanza kutaka tendo la ndoa free bado ataku-treat namna hiyo. Hizi treatment unazipata kwa sababu anajua baada ya mchezo unamwachia kitu kidogo na asipofanya cha zaidi atakupoteza na hivyo project yake inayompatia fedha itakufa. Kama nabisha nenda nyumba ndogo mara mbili tu bila kuacha kitu kama unavyofanya kwa mkeo then mara ya tatu umwambie sweetie nakuja ila sina chocho usikie atakwambia nini?

umenena mkuu.
 
habari yake mpango wa kando bana
namtafuta ndugu yangu Asprin, mara ya mwisho alionekana eneo la majohe gongo la mboto.!
 
Mkuu ni kweli kabisa, na nyumba ndogo hasa iwe mke mdogo kuliko mwenzake,
chuchu zimesimama, ukizitizama huna hali unataka kuramba hapo unasahau
nyumba kubwa.
 
Back
Top Bottom