Nimejiunga rasmi.

karibu mwaya.
Huku kuna mtu anaitwa Mohamed Sshossti huyu ni noma usimchokoze nafikiri anapara miwa
 
ulikuwa guest , pande hii ya muhusiano na mapenzi..? karibu bana..
 
Karibu mwaya

Ukiwa na shida ye yote
bonyeza juu ya avatar yangu
Kwenye jina langu afrodenzi
halafu mstari wa pili chini
upande wa kushoto utaona
Private message.. yap hiyo ndo PM
nitumiehiyo 24/7

Na karibu tena ..
 
Lizzy yupo sawa, guest gani hatoi hata salamu? Alafu kujiunga rasmi ni pamoja na kutupa thread ya mahusiano-mapenz, anyway karibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom