Kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "mtoto au baby"????

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Jamani kaswali kadogo ka kizushi tu lakini kanasumbua ubongo kwelikweli. Hivi ni kwa nini wanaume hupenda kumwita mwanamke au msichana "baby" au "mtoto". Tafadhali wajuzi wa haya masuala watujuze.
 
baby / mtoto kwa kawaida ni delicate na mi mtu ambaye inabidi upay attention kwake na kumjali.... na wanawake ndio vivyo hivyo.

DISKLEMA: ninavyosema wanawake simaanishi wote.
 
Hivi viumbe vinahitaji kubembelezwa ndiyo vinatulia tuliiiii na uta-enjoy life bila chenga, si unajua masharti ya kum-intertain mtoto asilielie??!! Lakini vilevile, practically, hata ukimweka ndani ya "18" lazima umshike kama mtoto mdogo ndipo utaisikia raha yake. Ni hivyo tu hakuna cha ziada.
 
ningekuwa mkaka ningejaribu kujibu hilo.
Pia ni kwa nini mnapenda kutumia neno :mamaa?inatofauti gani na urblood maza?
 
Tunapenda kulelewa kitoto toto.
Jamani baby wangu....
Nimewajibia tu. Ngoja waje.
 
Umenichekesha sana maana niko kwenye mkutano hapa msichana anamwita hus wake Baby mzee mmoja akawa very shocked what?? Najua wewe huna mtoto sasa baby gani huyo unamwita baby?? Akamwambia eti my huby mzee kachoka akamwuliza sasa ukizaa utawaita wote baby baba na mtoto??? You made my day kama uliuwepo au ndo wewe nini?? Maana hii thread kama kuna muhusika mmoja alikuwepo tukidiscus
 
Tunawaita watoto kwa sababu ya nature yao ya kupenda kudanganywa na kubembelezwa. Mwanamke ni mwanamke tu hata awe na cheo gani unaweza ukamdanganya kwa ahadi za kununua ndege na au ukampatia pepe akaingia line. Hata ukimkorofisha anabembelezeka haraka sana na ukiomba mchezo unapata wakati huo huo.
 
mwanaume anamwita mwanamke babe na mwanamke vilevile anamwita mwanaume babe wake. babe ni neno linaloonyesha upendo. Ni affectionate way of addressing a wife, husband, lover n.k.
 
Tunawaita watoto kwa sababu ya nature yao ya kupenda kudanganywa na kubembelezwa. Mwanamke ni mwanamke tu hata awe na cheo gani unaweza ukamdanganya kwa ahadi za kununua ndege na au ukampatia pepe akaingia line. Hata ukimkorofisha anabembelezeka haraka sana na ukiomba mchezo unapata wakati huo huo.

weeee.....chezea.....sio wote tupo hivyo.....lianzishe uone kilichomtoa kanga manyoya ya kiuno
 
Umenichekesha sana maana niko kwenye mkutano hapa msichana anamwita hus wake Baby mzee mmoja akawa very shocked what?? Najua wewe huna mtoto sasa baby gani huyo unamwita baby?? Akamwambia eti my huby mzee kachoka akamwuliza sasa ukizaa utawaita wote baby baba na mtoto??? You made my day kama uliuwepo au ndo wewe nini?? Maana hii thread kama kuna muhusika mmoja alikuwepo tukidiscus
hapo inategemea na timing yenyewe
kama mko pamoja bado ataendelea kuwa baby tu
na kama kuna watoto kuna majina mengine mnaweza kutumia kama mama fulani n.k
 
kuna brother namfahamu ana magf kama 4 wote anawaita baby isipokuwa wife wake. Ohoo! Ladies kwa baadhi ya wanaume ni njia ya kutozoea jina lako asije akalitaja akiwa na mwingine. Msidanganyike.
 
Back
Top Bottom