Naomba mnikaribise mimi mwenzenu Mfukunyunzi

mfukunyunzi

Senior Member
Mar 4, 2011
142
26
habari zenu wana jamiiforum? Nimeamua kuja huku kwa ma great thinkers baada ya kutapa tapa kwa muda mrefu kwenye mitandao mingine ya kijamii ambayo imetawaliwa na majungu,mapenzi kabla ya wakati, etc
Naomba ukaribisho wenu tafadhali.
 
nipo kwenye mood leo acha nikukaribishe na zilipendwa.

ooo mayasaa mama mayasaaa
oo mayasaa uzuri ni wa kuzaliwa naooo
ooo mayasaa mama mayasaa , usifikiri dada aliekuumba ni mjinga
ooo mayasa mama mayasaa oo mayasaa uzuri ni wa kuzaliwa naoo
oo mayasa mama mayasa anaekujua mama akikuona atashangaa, oo mayasa mama mayasaa

karib sana.
naitwa klorokwini a.k.a jaza wewe
 
habari zenu wana jamiiforum? Nimeamua kuja huku kwa ma great thinkers baada ya kutapa tapa kwa muda mrefu kwenye mitandao mingine ya kijamii ambayo imetawaliwa na majungu,mapenzi kabla ya wakati, etc
Naomba ukaribisho wenu tafadhali.

Salama salimini,karibu sana MFUKUNYUNZI
 
Back
Top Bottom