Recent content by kisoko

  1. kisoko

    JamiiForums Tanzania Mfahamu David Ernest Silinde: The Quest of Visionary led Leadership

    Salam sana wakuu, Natumai mu wazima wa afya tele. Awali ya yote mimi ni kijana wa ki-Tanzania ninayepambania ndoto zangu na mzalendo kwa nchi yangu. Mimi ni msomaji wa vitabu hasa vinavohusu wasifu wa viongozi mashuhuri na michango yao kwenye Jamii. Pia ni mfuatiliaji wa viongozi hasa vijana wa...
  2. kisoko

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    1:50 nipo bed, nimetoka club hamna demu alonivutia. I don't give a damn shit
  3. kisoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi humu ni wanafiki mnaponda wanaowekeza kwa wanawake wakati mpo wengi

    Mimi naweza kuzuga sina nipo vibaya au sina ela kwa wakati huo, lakini ni ngumu kumtumia pea Mwanamke ambae hatujakutana nikamjua au kujua nina malengo gani na yeye. Thats all for me.
  4. kisoko

    JamiiForums Tanzania I need someone to talk to through the phone in English, then I will pay him/her

    Just for free Madame. You don't need to pay me either.
  5. kisoko

    JamiiForums Tanzania Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

    Van da vert
  6. kisoko

    JamiiForums Tanzania I need someone to talk to through the phone in English, then I will pay him/her

    PM me, if you really want to know English?
  7. kisoko

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Vijana mzingatie huu uhauri, mim pia ndo ulonipa kazi, NAKAZIA , katika wote walochangia wewe umeongea pointi zaidi.
  8. kisoko

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kitabu kilicho vunja record kwa muda mfupi "Fire and Fury, Inside The Trump White House"

    Asante sana mkuu Member, ngaja nikipie msuli
  9. kisoko

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kitabu kilicho vunja record kwa muda mfupi "Fire and Fury, Inside The Trump White House"

    Habari wanajukwaa, Natumai mu wazima. Naomba kuanza kwa kusema sijaleta habari za uhakika kuhusu kitabu tajwa hapo juu, ili nimepata shauku ya kuleta uzi huu ili kupata habari na uelewa au kupata habari za uhakika kwa kuwa JF ni jukwaa la uhakika na kuaminika kwa miaka mitatu sasa ya uzoefu...
  10. kisoko

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Ni zao la faida sana, hapa sua kuna research inaendelea, kujaribu kuibebesha , yaan grafting ili tuweze kupata aina ya miche ya kitaalam ambayo itazaa kwa muda mfupi zaidi, katika kimo kifupi na kuvumilia hali yha joto kidogo,
  11. kisoko

    JamiiForums Tanzania Tray za kupandia miche ya mboga mboga

    Ayaa mkuu, ukiitaji namba zao takupatia maana bado ninazo, hort nzo kila kitu now
  12. kisoko

    JamiiForums Tanzania Tray za kupandia miche ya mboga mboga

    Horticulture Unit, SUA
  13. kisoko

    JamiiForums Tanzania Tray za kupandia miche ya mboga mboga

    Upo wapii mkuu, Km unaweza kufika morogoro zipo znapatikana za kutosha. Znasaidia sana kupunguza transplanting shock kwa horticultural crops, ukipanda znabak vilevile bila kunyauka. Ukifika moro nenda Horiculture Unit, kuna bwana anaitwa, Godwin, Macha au Salum, watakusaidia kwa order lakin...
  14. kisoko

    JamiiForums Tanzania Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

    Mm mock nilipata four, bit still necta nkapa BBD in PCB, nilikomaa na wale mabundi watabe wa tuit za mgote mbuga, mandia na issue boy, nkatoboa saiv nipo chuo kikuu sec yr. Kaza buti usikate tamaa necta co ngum kivile km tahosa, jikane utatoboa. Jamaa angu alipata moko zero km wew, bt necta...
  15. kisoko

    JamiiForums Tanzania Madakitari Bingwa wakutana na changamoto ya vifaa tiba Mkoani Rukwa.

    Yalete chisapula ntangala kwi selekali, ndo waletewe vifaa. Km sio ivo wikolo, "katwezye tulole, nswela ishataizya umumanyika umumwao"
Back
Top Bottom