Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nini kilikusaidia kupata kazi?

Ukiziendekeza stress utawaza kujiyonga. Mimi nilimaliza chuo mwaka 2009 na kukaa mtaani miaka 3 bila kazi yoyote, wala TV, wala rafiki kwa maana punde baada ya kumaliza chuo tukahama kutoka tulipokuwa tumepanga tukahamia nyumba mpya yetu wenyewe ambayo haikuwa na umeme.

Nimepitia huo wakati mgumu kama wako mdogo wangu. Jipe moyo kuwa Mungu anaweza na ipo siku atakufungulia milango ya baraka.
Mkuu chuo umemaliza 2009 na kila ukianzisha maada lazima utuamkie ?....sawa mkuu nilijua wewe bado upo sekondari unafaidika na elimu bure ya mzee wa Chato ,au uliruka madarasa.
 
Kiukweli sehemu nyingi siku hizi ni connection japo zipo pia ofisi ambako wapo fair unabebwa na CV yako na kujiamini tu (kujibu kwenye interview). I'll share my experience kidogo:
JOB 1: After 1st degree nilijiendeleza na post grad na kabla sijamaliza nilihangaika kutafuta kazi bila kupata .Hatimaye nikapata kwenye Taasisi fulani hivi.Najua walinipa coz mkuu wa hapo anafahamiana na mama lakini najua pia I was qualified enough for the Job (so hapa walinipa kishkaji out of 50 candidates nilipata mimi).

JOB 2: Job two nilipata kupitia mtandao wa Zoom jobs...nilikua tu nachoka kukaa job one nikawa bahatisha bahatisha mitandaoni nikaona kazi iloendana na qualifications zangu nikaomba na nikapata. It was a prestigious International NGO.
Sikua na mjomba wala shangazi wala Danga [emoji3][emoji3] Iikua mimi na Mungu wangu na CV yangu no connection at all.

JOB 3: Three years and a few months later I landed my 3rd Job...again through Zoom jobs....I must have outgrown my 2nd job so nikawa nazurula mtandaoni nikakutana na kazi ilonivutia na NGO nyingine tena nzuri. Wenye ma NGO ni wazungu....na mie sina mjomba,shangazi wala shosti mzungu. Nikaomba kazi kwa CV tu bila connection. Nilifuata maelekezo yao nikaweka vigezo walivyotaka kwenye application. One week later I was interviewed and I got the job.

JOB 4 : Again CV....and a little connection!

C Plus Plus nnachojaribu kukuonyesha sio kila kazi lazima uwe na connection ila a good CV....Andika CV vizuri (Format ya CV iwe nzuri, Good writing skills inasaidia kwenye Covering letter na experience nzuri as per job requirements) hayo mengine unamwachia Mungu (Pray).
Usichoke ku browse mitandao kuona kazi mpya zinazotoka.Pia hakikisha kazi unayoomba unaimudu as in iwe ni kazi ambayo ukipewa unafanya ila usione kwasabu tu unataka kutoka mtaani....omba kazi ambayo hata ukiitwa interview inaonyesha kua una experience nayo.
Lakini pia unapopata nafasi ya kuitwa interview hakikisha unafanya background check ya Taasisi/Shirika uliloitwa.I Mie hua kibidi naingia LinkedIn kuangalia profile za management team (probably ndio watakao ku-interview) ili angalau niwaelewe career wise na niwape kile wachotaka.
Best of luck....keep trying your breakthrough is around the corne6[emoji173]

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
thank you for advice...
i will try if it can make. but for sure the game is soo tough
 
Nilitaka niandike Uzi kuhusu Maswala ya Ajira etc..

Mie ni kijana bdo.

Wakat nasoma nilitamani kuajiriwa nikiwa BADO nikiwa nasoma Chuo.
Nilikosa kazi.. kwa miaka miwili mwaka wa pili ilikuw ni semester ya mwisho lazima Tufanye FIELD.

Nikaitumia hiyo FURSA.. kujijengea JINA, CONNECTION na UAMINIFU. ktk Taasisi nyeti niliyoenda kufanya Field.

Sikufichi.. wenzangu niliosoma nao Asilimia 70% walienda kufanya Field ilimradi wakamilishe Field report yao basi.. ila hawakuwaza mbele..

Mie nilitarget sehem ambay itaniwezesha kubaki kuendelea kufanya kazi.. na nikajituma kias kwamba siku nakamilisha Field yangu.. OFISI/IDARA nzima inasikitika.. wanatamani nibaki.

Inshort.

Fursa namba moja ukitaka uajiriwe.. ITUMIE FIELD vzr... Piga KAZI kweli kweli.

Pili.. Usiwe MTu wa kuwaza HELA.. yaan unataka ULIPWE ukishagundulika hivy wakat wa Field.. imekula kwako.

Tatu.. SOFT SKILLS.. ukiachia hizo skills kitu kingine cha muhimu UJUZI ulio nje ya kile unavhofanyia field.

Mfano. mimi wakat nafany Field kina baadhi ya wafanyakazi walidhani mimi ni IT wa IDARA.. kumbe siyo Profession yangu... Bali nilitumia vzr skills zangu za IT na kutatua changamoto mbalimbali.. kitu ambacho kilinipa Credit sana..

Kuwa mtulivu.. smart.. na mnyenyekevu.

After kumaliza Field KWA Kuwa MABOSS nishawafanya marafiki na wameona Utendaji kazi wangu.. after one week nikavutiwa WAYA... nikaripot SOMEWHERE.. ndipo nipo kwa SASA natumikia TAIFA.
Vijana mzingatie huu uhauri, mim pia ndo ulonipa kazi, NAKAZIA , katika wote walochangia wewe umeongea pointi zaidi.
 
Baada ya ku hustle sana na kuomba kazi za utumishi na kuambulia patupu hatimae nikaona tangazo taasisi moja ya serikali nikaaply, tukafanya written nikapita tukaja kwenye oral sasa kwakua nilikua kwenye msoto nilihakikisha ile oral nimeifanya vizuri mpaka mkurugenzi akanambia mbele ya panel dogo nakuajiri akanipa moono wa kheri na remember mm ndo nilikua wakwanza kuingia kwenye chumba cha interview.

Kilichonisaidia n comfidence. Alhamdulilah Leo nipo kwenye hiyo taasisi na haukupita mwaka nimepewa na cheo cha kuheshimika tuu
Na wewe saidia watu unona wanafaa kijana
 
Kwa hiyo mkuu uliwatishia na Bit la kutosha....
hii mbinu yako ntaijaribu lakin ntahakikisha mlango haupo mbali..
Big Up kwa kupambana!
sio kuwatisha niliwaaminisha ntawaletea mifumo ya kisasa sana ya kufanyia kazi ambayo mimi nna uzoefu nayo na kwa garama ndogo so wakaona hapa taasisi inaenda kuvuna mapesa bwelele kiulaini uzuri nilikua expert kweli ila ilinichukua miaka mitano kupata huo utaalam kuna mtu mmoja mkuu wa idara ya IT nilikua naona anatikisa kichwa tu kuwa nondo anazikubali japo nilikua naweka na uongo unaoendana na ukweli ili wanikubali tu mfano walikua wananiuliza kitu flani unafaham nawaambia ndio kwa kuwa walikua wanajua najua wakawa hawataki details kumbe mi moyoni nasema ntajifunzia huko huko nikishapewa ofisi au ntauliza kwa watu fulani fulani
 
Mkuu chuo umemaliza 2009 na kila ukianzisha maada lazima utuamkie ?....sawa mkuu nilijua wewe bado upo sekondari unafaidika na elimu bure ya mzee wa Chato ,au uliruka madarasa.
Mkuu, siku hizi nimeachana na kutoa shikamoo kwa maana wazee wa humu waliozaliwa mwaka 1961 bado wanaupenda ujana na hawajawahi kuitikika hata siku moja.
 
sio kuwatisha niliwaaminisha ntawaletea mifumo ya kisasa sana ya kufanyia kazi ambayo mimi nna uzoefu nayo na kwa garama ndogo so wakaona hapa taasisi inaenda kuvuna mapesa bwelele kiulaini uzuri nilikua expert kweli ila ilinichukua miaka mitano kupata huo utaalam kuna mtu mmoja mkuu wa idara ya IT nilikua naona anatikisa kichwa tu kuwa nondo anazikubali japo nilikua naweka na uongo unaoendana na ukweli ili wanikubali tu mfano walikua wananiuliza kitu flani unafaham nawaambia ndio kwa kuwa walikua wanajua najua wakawa hawataki details kumbe mi moyoni nasema ntajifunzia huko huko nikishapewa ofisi au ntauliza kwa watu fulani fulani
hahaha wewe genius aisee.Mimi pia ni BSc CS
 
Shida ya vijana wa siku hizi mnaponzwa na vitu vifuatavyo .
-ubishoo
-uvivu
-Kupritend maisha
-Hamko competent na mlichosomea
-Kutanguliza pesa
-Mavazi mnayovaa mkidhani mnaenda na wakati.

Mimi nilimaliza chuo 2016 baada tu ya week moja kazi ikatangazwa nikaomba , nikaitwa kwenye interview nilikuta vijana wenzangu kama 100 wakati wanaitaji 2 .
Sikushutushwa na wingi wa watu ila nilijiamini maana nilikuwa nko vizur katika field hyo.
Kila swali nilijibu kwa umakini na kutoa mifano inayoenda na majibu .
Wote wakabaki wanatikisa vichwa
 
Na usalama wa taifa unapitia secratariet ya ajira?
hii comment ime nifanya nicheke bure

hawa wana kufata wao wenyewe baada ya kujiridhisha kua una fit iyo nafasi wanayo kutaka sio ww uwaombe
 
Nilitaka niandike Uzi kuhusu Maswala ya Ajira etc..

Mie ni kijana bdo.

Wakat nasoma nilitamani kuajiriwa nikiwa BADO nikiwa nasoma Chuo.
Nilikosa kazi.. kwa miaka miwili mwaka wa pili ilikuw ni semester ya mwisho lazima Tufanye FIELD.

Nikaitumia hiyo FURSA.. kujijengea JINA, CONNECTION na UAMINIFU. ktk Taasisi nyeti niliyoenda kufanya Field.

Sikufichi.. wenzangu niliosoma nao Asilimia 70% walienda kufanya Field ilimradi wakamilishe Field report yao basi.. ila hawakuwaza mbele..

Mie nilitarget sehem ambay itaniwezesha kubaki kuendelea kufanya kazi.. na nikajituma kias kwamba siku nakamilisha Field yangu.. OFISI/IDARA nzima inasikitika.. wanatamani nibaki.

Inshort.

Fursa namba moja ukitaka uajiriwe.. ITUMIE FIELD vzr... Piga KAZI kweli kweli.

Pili.. Usiwe MTu wa kuwaza HELA.. yaan unataka ULIPWE ukishagundulika hivy wakat wa Field.. imekula kwako.

Tatu.. SOFT SKILLS.. ukiachia hizo skills kitu kingine cha muhimu UJUZI ulio nje ya kile unavhofanyia field.

Mfano. mimi wakat nafany Field kina baadhi ya wafanyakazi walidhani mimi ni IT wa IDARA.. kumbe siyo Profession yangu... Bali nilitumia vzr skills zangu za IT na kutatua changamoto mbalimbali.. kitu ambacho kilinipa Credit sana..

Kuwa mtulivu.. smart.. na mnyenyekevu.

After kumaliza Field KWA Kuwa MABOSS nishawafanya marafiki na wameona Utendaji kazi wangu.. after one week nikavutiwa WAYA... nikaripot SOMEWHERE.. ndipo nipo kwa SASA natumikia TAIFA.
mkuu hata field ni connection ukipata field kirahisi ujue hakuna hela hapo..mimi nilitafuta field sana nilienda hifadhi za jamii zote na kwengine lakin wakijua ni barua za field jibu rahisi ni kwamba mpaka makao makuu au nafasi zimejaa..na hata ttcl tena nilijibiwa bila kuangaliwa usoni alikuwa bize na simu yake..na hata halmashauri ambapo nilisema siendi nilikuja kuona ni lulu baada ya kuchoka kuzunguka one thing more nilipiga kazi vizuri tu na nilitengeneza web nzuri tu na nina mawasiliano nao vizuri lakin problem ni kwamba hawana capable ya kum-employ mtu na siwalaumu licha ya kwamba nilitoa sana walinipa A za field...
kwa hiyo kujitoa sana sio kwamba ni garantee utarudi hapo inategemea unajitoa wapi!
 
hii comment ime nifanya nicheke bure

hawa wana kufata wao wenyewe baada ya kujiridhisha kua una fit iyo nafasi wanayo kutaka sio ww uwaombe
Sio lazima wakufuate hata wewe unaweza kuwaomba
 
Back
Top Bottom