Wanaume wengi humu ni wanafiki mnaponda wanaowekeza kwa wanawake wakati mpo wengi

Mi huwaga niko hivi jukwaa ambalo nyuzi zake naziamini sanasana ni Jukwaa la habari mchanganyiko,haya mengine nakujaga kuenjoy,sichukulii vitu serious kihivyo.

watu wanaanzisha uzi kutusema sisi wenye vibamia,mi hata sikasiliki,nacheka tu na maisha yanaenda kwasababu najua ni utani na hata kama ni kweli nakubaliana na hali yangu siyo ishu ilimradi kwenye shughuli demu wangu ananiambi"basi humphrey polepole!!!"inatosha sihitaji kingine
 
Nna hela na kazi yangu alileta mazoea na usumbufu nikaona ngoja nimshikishe adabu , huo ndio ukweli wengi humu mnachunwa sana tu
Siku ukikutana naye utakaa style za hadi popo kanyea mbingu. Huwezi jua anajipanga kwa nini. Angalia as far namba yako anaijua ipo siku atakutafuta.
 
Mi huwaga niko hivi jukwaa ambalo nyuzi zake naziamini sanasana ni Jukwaa la habari mchanganyiko,haya mengine nakujaga kuenjoy,sichukulii vitu serious kihivyo.

watu wanaanzisha uzi kutusema sisi wenye vibamia,mi hata sikasiliki,nacheka tu na maisha yanaenda kwasababu najua ni utani na hata kama ni kweli nakubaliana na hali yangu siyo ishu ilimradi kwenye shughuli demu wangu ananiambi"basi humphrey polepole"inatosha sihitaji kingine
😁😁😁😁Pole pole what !!?
 
Hahahah nijikute tu nahesabu laki 1..2..3..4 af namtumia malaya nisiemjua!?

Hela yangu haijawahi kuliwa na demu ambaye sijapekua kyupi chake !!! Its either nikule then unile ila vice versa can never happen!
Naaaam naaaaam
 
Nimeshtuka baada ya kuona uzi wa member aliyekuja kuomba ushauri kuhusu kuwekeza kwa mwanamke , na kati ya waliokuwa wanamponda mmoja wapo nishamchuna sana tokea naanza jf alikuwa ananisumbua sana pm, hadi nikampa namba think mtu hatujawahi kukutana nilikuwa natumiwa hela kila nlipohitaji na nauli ya kutoka Dar kumfuata Mwanza alinitumia 470,000 niende kwa ndege nauli nikala na mwanza sikutokea hadi leo hana ham na mimi

Huyo mtu leo ndio yupo front line anamponda mwenzie kuwa analiwa

Hii ndio Jamii forum , humu kila mwanaume huwa ana pesa, nguvu za kiume, kila mtu huwa ni mjuaji wachache ndio huwa wanakuwa wakweli ila sasa mtu akiongea ukweli unaweza kuta mtu kwenye shida kama yake anakuja kumponda hii ndio Jf

Tukubali tu hakuna mwanaume ambaye hawekezi kwa mchumba , yaani usipowekeza Direct utawekeza kwa vizinga tu , kuna watu humu wanachunwa hatari, mwanamke kila wiki anatumiwa mahitaji yote , sijui bby nataka nguo hii hela inatumwa unakuta mwanamke anafungua biashara kwa hela ya mizinga tu

Wanaume wengi humu mshatufungulia biashara kwa mizinga tunayowapiga yani usipowekeza direct utawekeza kwa vizinga, wengi humu mnachunwa , ni sawa na wanaofungua bishara tu open ,mlojificha na nyie ni wale wale na ndio maana mnalalamika kila siku tumezidi vizinga
Ko mpenzi mallia ndo umeamua uje uniseme hukuu
 
470,000 nauli ya ndege na mwanza sikutokea , wapo wengi tu humu watuma nauli hadi mkaja na uzi wenu mkilia kuhusu kutuma nauli
Nakutumia laki 5 tukutane dodoma ole wako usitokee mi sio bwege kama hao
 
Mi huwaga niko hivi jukwaa ambalo nyuzi zake naziamini sanasana ni Jukwaa la habari mchanganyiko,haya mengine nakujaga kuenjoy,sichukulii vitu serious kihivyo.

watu wanaanzisha uzi kutusema sisi wenye vibamia,mi hata sikasiliki,nacheka tu na maisha yanaenda kwasababu najua ni utani na hata kama ni kweli nakubaliana na hali yangu siyo ishu ilimradi kwenye shughuli demu wangu ananiambi"basi humphrey polepole"inatosha sihitaji kingine

Pole mkuu kumbe una kiba 💯?
 
Back
Top Bottom