Sio kwamba wanamaliza nafasi za wasaidizi waliofanya Oral Jan 2025
Maana mikeka mingi inayotoka kwa sasa wengi wanaochukuliwa ni wasaidizi kuna dogo alifanya oral Jan 2025 kaitwa kazini week hii.
Kwa hiyo watu waliofanya usahili June 2025 itakuwa bado kuitwa kazini/ wataitwa soon,
Kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.