bky123
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 155
- 227
Karb kataviNimeanza kufua begi sasa na kupaki nguo tayari kuelekea Katavi, kuanzia kesho sikai mbali na simu, ipo full charge.
Karb kataviNimeanza kufua begi sasa na kupaki nguo tayari kuelekea Katavi, kuanzia kesho sikai mbali na simu, ipo full charge.
Mwanzo wa Julai au sioNimeanza kufua begi sasa na kupaki nguo tayari kuelekea Katavi, kuanzia kesho sikai mbali na simu, ipo full charge.
Hii arosto ya kutembelea ajira.go.tz ni zaidi ya cocaineKumaanisha kwamba leo hamna pdf
Leo mim nimeona nisiingie kabsa nisubr pdf tuHii arosto ya kutembelea ajira.go.tz ni zaidi ya cocaine
Bila kuingia utajuaje kama PDF limepandishwa?Leo mim nimeona nisiingie kabsa nisubr pdf tu
Sorry, secretariat ya ajira si ndiyo hiyo hiyo TAMISEMI?ila bora mchakato mzima ungerud.tamisemi hii ni kutia watu stress, ingekuwa tamisemi.wangeshatoa.mkeka wote.ila.kama.haumo uendelee na issue zingine
Ni vitu vi2 tofauti. Moja ni Sekretarieti na nyingine ni Wizara.Sorry, secretariat ya ajira si ndiyo hiyo hiyo TAMISEMI?
Kweli kabisaHao TAMISEMI hapna kwakweli,ajira zilikua zinamwaga kimchongo sanaa,mwaka huu nimeona watu wengi wamelamba sukari tena wa kawaida kabisaa,huu utaratibu wa secretarieti ni mgumu na una full stress ila angalau hata wakosa connection wanapata ulaji
Wakuu mwenye ile option ya kuingizia saini kwenye document anisaidieKweli kabisa
Upo sahihi , secretariat kwa sasa ndo mtetezi wa wanyonge.!Hao TAMISEMI hapna kwakweli,ajira zilikua zinamwaga kimchongo sanaa,mwaka huu nimeona watu wengi wamelamba sukari tena wa kawaida kabisaa,huu utaratibu wa secretarieti ni mgumu na una full stress ila angalau hata wakosa connection wanapata ulaji
Yeah ni kwel mkuu sekretarieti hawana baya usahili wao ni wa haki kabisaHao TAMISEMI hapna kwakweli,ajira zilikua zinamwaga kimchongo sanaa,mwaka huu nimeona watu wengi wamelamba sukari tena wa kawaida kabisaa,huu utaratibu wa secretarieti ni mgumu na una full stress ila angalau hata wakosa connection wanapata ulaji
Naam, angalau utumishi wanajitahidi ukilinganisha na taasisi nyingine. Ni ngumu ndio kwenda next round lakini angalau huku tunawaona wanaopenya kuliko wale jamaa wa TAMISEMI.Yeah ni kwel mkuu sekretarieti hawana baya usahili wao ni wa haki kabisa
Kwamba halmashaur kuna asali..🤔Champion number one Huyu bwana pia kalamba asali yake halmashauri siku ya Leo.
Hakika utabiri wako umetiki na mwishowe muhusika pia amesema tawire!
Asali ni Asali mkuu.Kwamba halmashaur kuna asali..🤔
mapdf yalioshiba hutokaga kwenye mwezi kama huu?Kumaanisha kwamba leo hamna pdf
Kwa pdf zipi,?Amken amken mje mtoe ushuda