HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vipi interview yenu ilikuwaje mkuu. ? Pia maswali yalikuwa mangap?

Walisema marks za kila swali zitakuwaje?

Hongera sana
Marks kwa kila swali hawakutuambia

Maswali ,, tulianza na notes preparation

Then unatakiwa u- present kile ulichoandaa then table assessment

Swali la kwanza

  • Tell us about yourself
  • mengine matatu ambalo moja ni la mambo ya education mawili ya somo husika .
 
Kama upo kwenye database wangeweka ingependeza sana
Jana tuliwauliza kwanini hawajaweka namna ambayo inaweza kumsaidia mtu kujua kama yupo database au laa !!

Wakajibu hivi

Kipengele cha kumuonesha kama mtu yupo database kipo ila waliamua kukifunga kwasababu kama wangekiacha kingezua maswali zaidi

Mfano .
Fikiria mpo watatu database nafasi akapatikana wakamchukua mmoja wapo kati ya wale watatu .. wale wawili waliobaki si wataibua maswali kwanini wamechuku yule mmoja na wao wameachwa..

Sasa kuzuia hili ndiyo wakaamua kuzuia mtu kuona database
 
Yah kuna namna hua nawaelewa utumishi kuhusu hili
 
Naona Sasa hvi utumishi hawaitaji Tena kuaattach cheti Cha kidato Cha NNE na SITA system wameunganisha na necta Moja Kwa Moja

Pia Ukiwa unabadili document Moja kuweka nyingine mabadiliko ni instantly yanatokea sio kama zaman

Nawapongeza imekua user friendly kidogo kuliko mwanzo

Pia wakuu naomba mu-update academic qualification zenu msisahau naona linahitajika kwasasa
 
Wangefanya link na RITA na TCU ma vyet ya kuzaliwa na vyuo tukawa tunaweka namb tu yanatokea kule siku ya usail mtu aende na kitambulisho tu watu wanabeba ma vyeti adi yanakuja kupotea na bado n jobless
 
Hatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basi
 
Back
Top Bottom