Nimesharipoti na nimepewa ruhusa ya siku 14 ya kujiandaa so tar 17 ndio naenda kuanza kazi rasmi In Shaa Allah!
Dhu nyie mnakisanga kak sie tushapewa chetu mda tuHapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Wewe una ubishi wa vijiweni, na haupo tayari kupokea mawazo yanayo crush imani yako.Unaposema sio uhalisia ndo uje na data sio maneno ya vijiweni, mwisho wote wasaka tonge hapa bongo kwahyo ubishi huu hauna muhmu
Mkuu sawaWewe una ubishi wa vijiweni, na haupo tayari kupokea mawazo yanayo crush imani yako.
Truth is - it’s not location, it’s mindset.Hiyo hela ya kunyoa baba shop Kama ukiiweka Kwa miez 6 si unapata kiwanja kimara ndani ndani
Huku utumwani tunapewa ujira sio mishahara, Africa hasa ukanda wa Sahara wanalipwa mishahara ni wanasiasa tu.Truth is - it’s not location, it’s mindset.
You can be broke in Paris or powerful in Bagamoyo.
Abroad doesn’t print money. Discipline does.
Pdf zimepoaPdf ndo zmeisha au???????!!!!!
Aisee jamaa wamekaa kmya ad bas🙄Pdf ndo zmeisha au???????!!!!!
Wiki imekataPdf zimepoa
WikiAisee jamaa wamekaa kmya ad bas🙄
Yeah siku 7 since walivyo toa mkeka wa mwisho tar 8Wiki
Mwendowameumaliza🤣🤣🤣 ila ujobless kazYeah siku 7 since walivyo toa mkeka wa mwisho tar 8
YehYeah siku 7 since walivyo toa mkeka wa mwisho tar 8
Bora ujobless kuliko vijiwe hivi vya kulipwa miamiaMwendowameumaliza🤣🤣🤣 ila ujobless kaz
Ni week sasa no PDFPdf ndo zmeisha au???????!!!!!
Duuh aiseee...na kazi mmeshaanza???Dhu nyie mnakisanga kak sie tushapewa chetu mda tu
Hiyo kulipwa lazima uwe na check number, labda wao walipata mapema check numberDuuh aiseee...na kazi mmeshaanza???