HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfano Wakuu vyeti vyangu vipo hivi

Cheti cha kuzaliwa

Ezekiel Abdalla kisimba

Cheti cha form four

Ezekiel. A kisimba

Cheti za form six

Ezekiel A kisimba

Transcript

Ezekiel abdalla kisimba

Cheti cha chuo

Ezekiel Abdalla kisimba

Katika katika vyeti hivi kuna tatizo lolote ?? Maana kuna mtu kadema eti inabidi niende kwa mwanasheria kuapa kuwa A ni abdalla
Pole sana EZE ulifanikiwa?
 
Hii version mpya ya ajira portal ile sehem nilioenda kufanya interview ile status ya SELECT FOR ORAL naona haipo

Nani ame experience hii kitu ?
 
Jana niliwauliza hili swali wakati tunataka tuanze oral interview pale utumishi

Walisema ,, inaanza barua ,, kwasababu baada ya kuwa wameshamaliza mchakato wote na katibu kuainisha kila kitu

Hatua inayofuata ni kutuma barua kwa watu waliopata kazi katika account zao ..

Baada ya hapo ndiyo hupeleka taarifa kwa mtu wa mawasiliano ambaye hutengeneza pdf na kuituma katika page yao .

Hivyo wanaweza kumtumia asubuhi lkn i.T upande wa masiliano akatengeneza pdf na kuituma jioni ..

Hivyo basi mtu ataanza kuona kwanza barua katika account yake afu then ndiyo atakuja kuliona jina katika PDF ..
Vipi interview yenu ilikuwaje mkuu. ? Pia maswali yalikuwa mangap?

Walisema marks za kila swali zitakuwaje?

Hongera sana
 
Jana niliwauliza hili swali wakati tunataka tuanze oral interview pale utumishi

Walisema ,, inaanza barua ,, kwasababu baada ya kuwa wameshamaliza mchakato wote na katibu kuainisha kila kitu

Hatua inayofuata ni kutuma barua kwa watu waliopata kazi katika account zao ..

Baada ya hapo ndiyo hupeleka taarifa kwa mtu wa mawasiliano ambaye hutengeneza pdf na kuituma katika page yao .

Hivyo wanaweza kumtumia asubuhi lkn i.T upande wa masiliano akatengeneza pdf na kuituma jioni ..

Hivyo basi mtu ataanza kuona kwanza barua katika account yake afu then ndiyo atakuja kuliona jina katika PDF ..

Ulifanya vizuri kuuliza kuna wengine husema wanaona barua na pdf siku moja
 
Naomba kuuliza wakuu ikiwa mtu jina la NIDA na cheti cha form 4 ni Hamisi juma shauri lakini jina la cheti cha kuzaliwa ni Hamis juma Shauri, nataka nikagonge muhuri hivi vyeti nimuombee kazi ya postal clerk halaf nitafute deedpoll na mchakato wa cheti kipya cha kuzaliwa kabla interview.

Swali.
1. Je ntahitajika kuweka deedpoll kwa mfumo wa ajira pia?
2. Na nisipoweka deedpoll asahau kuitwa interview kwasababu majina ni tofauti?

Nawasilisha
 
Usijali majina yapo sawa hayo
 
Back
Top Bottom