Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,859
- 25,067
Bila bila
NAona hawana nia njemaMaybe leo wanamalizana na 7saba kabisa
Mliopata placement mtujibu tafadhaliHivi mtu si ukipata placement si unaanza kuiona kwenye account then wanakuja kutoa PDF sasa ama?
Ndio mkuu placement inaanz halaf pdf ndo inafataHivi mtu si ukipata placement si unaanza kuiona kwenye account then wanakuja kutoa PDF sasa ama?
Hapo ni bado namba yake ya nida haijawa updated kwenye mfumo , jaribu mpaka ikubaliWakuu Msaada tafadhari, kuna mtu nilimfungulia ACC Ajira portal lakini nimefika mwishoni kwenye Ku preview CV naona tarehe ya kuzaliwa IPO ambayo siyo yake. Tarehe inasoma 1/01/1970 . Na edit vipi hapa na sioni sehem ya kueditia tarehe ??
Aah shukrani kaka ngoja niendelee kujaribuHapo ni bado namba yake ya nida haijawa updated kwenye mfumo , jaribu mpaka ikubali
Huko Halmashauri unatamani hata ungekuwa umesomea Katibu mwendesha maana kila Halmashauri inahitajiyaani kama unasubiri tangazo la ajira tofauti na halmashauri kazi ipo... 🤣 🤣
Okay nimekupata mkuu.Ndio mkuu placement inaanz halaf pdf ndo inafata
Pdf Kesho LablaLeo pdf mqpema sana, limeshiba
Kwann keshoPdf Kesho Labla
Njoo utupe Ushuhuda wako: ulijisikiaje ulipoona mkeka wa kuitwa kazini na huna ndugu PSRS wala connection! Ukakutana na barua ya kuitwa kazini kwenye akaunti yako ya Ajira Portal.Hivi mtu si ukipata placement si unaanza kuiona kwenye account then wanakuja kutoa PDF sasa ama?
Kwani ameshapata placed? au aliuliza swali?Njoo utupe Ushuhuda wako: ulijisikiaje ulipoona mkeka wa kuitwa kazini na huna ndugu PSRS wala connection! Ukakutana na barua ya kuitwa kazini kwenye akaunti yako ya Ajira Portal.
Hongera sanaaa 🙏🏿
Ameshaelekea kwenye kuipataKwani ameshapata placed? au aliuliza swali?
👍 pongezi kwakeAmeshaelekea kwenye kuipata
Hiyo kukaa wiki mbili bila kuchungulia akaunti yako haiwezi kuleta madhara baadaye?, kama umepangiwa kituo cha kazi na unatakiwa uende mapema kuthibitisha taarifa zako, mfano ndani ya siku saba, si unaweza kukuta huna chako tena kutokana na kuchelewa?. PSRS huwa hawatumi notifications zozote. Mfano mzuri huu hapa. Tangazo limetolewa tarehe 5, Oktoba na mwisho wa kwenda kuripoti ni tarehe 8, Oktoba, yaani siku 3 tu!