Zingatia code mkuuMakamu or Wazir mkuu🤔?
Zingatia code mkuuMakamu or Wazir mkuu🤔?
Sawa mkuu🤝Zingatia code mkuu
Kwahyo muhim zaidi kupitia pitia kwenye account sio kuhangaika na mikeka auuBarua inaanza kuonekana kwenye akaunti yako.
ok poa..Hakuna tofauti kubwa ya muda na hilo lisikuumize kichwa.
ok poa.ila mpaka tupate hizi kazi tutakua tumenyooka..Lakini kufuatilia kwenye akaunti ni presha sana. Pale inavyo-load, matarajio yako ni kuona "PLACED AS", ila moyo utaanza kuuma ukiona bado ipo "SELECTED FOR ORAL".
Nakushauri uendelee kufuatilia kwenye Sekretarieti tu. Mimi bado najitibu asidi iliyoibuka wakati nasubiri Placement huku nikichungulia akaunti😁
Yeah mimi ni mkristo imani yangu itaniponyaKuwa na imani.
Kafanye mkuu soma sana written za multiple choice hasa kwa nafasi moja inatakiwa uwe upo vizuri kwenye kada husika utumishi wanazikaza sana unatoboa mbonaNoo namaanisha usaili kaka halafu nafasi iko moja tu
Kweli aiseeLakini kufuatilia kwenye akaunti ni presha sana. Pale inavyo-load, matarajio yako ni kuona "PLACED AS", ila moyo utaanza kuuma ukiona bado ipo "SELECTED FOR ORAL".
Nakushauri uendelee kufuatilia kwenye Sekretarieti tu. Mimi bado najitibu asidi iliyoibuka wakati nasubiri Placement huku nikichungulia akaunti😁
Wakongwe kazini, kaka hujalambaga asali tuNdugu, unachokiona kwenye app ndo hvy hvy kipo kwenye web.
Wanaosema achana na app tena uifute wapo sahihi 100% mana app ipo outdated
mzee wa swala 🤣 🤣Wakongwe kazini, kaka hujalambaga asali tu
😅😅😅🛐Bado swala haziishi japo zimebadilika sasa hivi kakamzee wa swala 🤣 🤣
oya fanya mpango nyama ya tembo basi..😅😅😅🛐Bado swala haziishi japo zimebadilika sasa hivi kaka
Bado, ila wakati upo karibuWakongwe kazini, kaka hujalambaga asali tu
mwambie tu ukweli kua tumegonga mwamba... 🤣 🤣🤣Bado, ila wakati upo karibu
Hapana, mm sijagonga mwamba, n wakati wangu bado haujafikamwambie tu ukweli kua tumegonga mwamba... 🤣 🤣🤣
mmmh haya bana mie nimekili kuwa huu moto siuwezi...Hapana, mm sijagonga mwamba, n wakati wangu bado haujafika
Kama n hvy bc ukiona post inayokuhusu achana nayo usiandike hata barua.mmmh haya bana mie nimekili kuwa huu moto siuwezi...
na ujobless huu??Kama n hvy bc ukiona post inayokuhusu achana nayo usiandike hata barua.
Jana niliwauliza hili swali wakati tunataka tuanze oral interview pale utumishiswali kwa mliopata kazi hivi kati pdf kwenye web na barua kipi kinatangulia kutoka......?
ok hapo nimekupata fresh..Jana niliwauliza hili swali wakati tunataka tuanze oral interview pale utumishi
Walisema ,, inaanza barua ,, kwasababu baada ya kuwa wameshamaliza mchakato wote na katibu kuainisha kila kitu
Hatua inayofuata ni kutuma barua kwa watu waliopata kazi katika account zao ..
Baada ya hapo ndiyo hupeleka taarifa kwa mtu wa mawasiliano ambaye hutengeneza pdf na kuituma katika page yao .
Hivyo wanaweza kumtumia asubuhi lkn i.T upande wa masiliano akatengeneza pdf na kuituma jioni ..
Hivyo basi mtu ataanza kuona kwanza barua katika account yake afu then ndiyo atakuja kuliona jina katika PDF ..