HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inatakiwa waje na system yakutoa matokeo watu wajue alf wabaki wanapanga watu wanajua wamefeli au wamefaulu sio kuwapa jamba jamba kila siku 🚮🚮
Nakumbuka walisema mwaka huu wataweka kwenye mfumo mtu utakua unaona kama upo database au ulichemka oral
Ngoja tusubiri hayo maboresho
 
20250705_201600.jpg
 
Back
Top Bottom