Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 553
- 653
AaminWakuu hakuna kukata tamaa,endeleeni na mapambano Mungu yupo atawapa kazi.
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
AaminWakuu hakuna kukata tamaa,endeleeni na mapambano Mungu yupo atawapa kazi.
Yani jobless awe na dem mkali si kujiongezea tu stressTafuta babe mkali akuweke bize , unaweza kukaa hata mwezi ujaingia portal.
Hii nimeifanya na imezaa matunda.
🤣🤣🤣 acha smartphone tumia kiswaswadu hapo utasahau mazimasamahanini wakuu kama kuna mtu anajua jinsi ya kumaliza siku bila kuingia website ya utumishi aniambie..
Atakuwa ana kazi private ama yupo na business sio bure. 😄Yani jobless awe na dem mkali si kujiongezea tu stress
Labda hivyo maana mtu anayechungulia kwenye account kila mda kuwa na dem sio suruhuAtakuwa ana kazi private ama yupo na business sio bure. 😄
AmenWakuu hakuna kukata tamaa,endeleeni na mapambano Mungu yupo atawapa kazi.
Hakika hahaa maana daah kazi za kibarua kitaa ni za pesa ya bundle na kula tu... Sasa ukiongeza na biashara isiyo na faida yani penzi jipya utajikuta unasumbua washkaj waku, assist. 😄Labda hivyo maana mtu anayechungulia kwenye account kila mda anakuwa kuwa na dem sio suruhu
Amen 🙏🏿 🙏🏿,,, hakika bogi la wengi hapa ni June.Mungu atukumbuke, Placement zitoke mapema maana naona waliowengi wanaosubiria placement ni wale waliopiga interview June..
😄😄😄😄Atakuwa ana kazi private ama yupo na business sio bure. 😄
Apo sasaYani jobless awe na dem mkali si kujiongezea tu stress
😒Siku mbili bila pdf, najua na kesho hamn pdf pia
Maybe wanaandaa pdf la watu wa June lije na majina 1k plus ..😆Siku mbili bila pdf, najua na kesho hamn pdf pia
Kuna PDF lililowahi kufikisha hiyo idadi?Maybe wanaandaa pdf la watu wa June lije na majina 1k plus ..😆
Haha, utaona pdf lenye page 10, hao hamna kituMaybe wanaandaa pdf la watu wa June lije na majina 1k plus ..😆
Kesho pdf uhakikaSiku mbili bila pdf, najua na kesho hamn pdf pia
Kesho sikukuu inaweza pita bilabila pasipo pdf tena
Tusichoke kusubir wakuu