HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kwa ukimya huu wa pdf kwa takriban siku saba, nahisi ni ishara nzuri kwa wale tuliofanya interview mwezi wa tano mwishoni mpk mwezi wa sita, nahisi ndio wanaandaa placement.. wakianza wanaanza na wa miezi hyo.

Tuwe watulivu tu. Tusubiri.
 
Habari wadau . Samahani naomba kuuliza niliomba nafasi za kazi ila yalipotoka majina ya candidates waliochaguliwa kufanya interview , me sijachaguliwa sababu ni kwamba vyeti vyangu avija gongwa mhuri wa mwanasheria , nikaingia kwenye account yangu ya ajiraport kuangalia vyeti vyangu vyote vipo sawa kbc lakini wiki mbili nyuma nimetoka kufanya interview kwa vyeti ivi ivi ambavyo saivi nimeambiwa avija gongwa mhuri wa mwanasheria . Nikapiga simu utumishi kuhusu ili jambo wakaniambia ningoje majina ya nyongeza , swali langu kwa wale ambao wamewai kukutana na issue kama hii inachukua siku ngapi kutoa majina ya nyongeza .
 
Hayachuki mda uwe unatembelea mara kwa mara kwenye website yao
 
Back
Top Bottom