Recent content by kirerenya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kemikali za kuchenjulia dhahabu.

    Mbona huna huruma mkuu ? 😂
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja au Biashara

    Kama lengo ni kutunza hiyo pesa, jaribu kuiweka UTT au bank kwenye fixed account deposit. Hii itasaidia hela kuongezeka kidogo na kufikia lengo lako la kuja kuanzisha biashara
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    Naona toyota wamenusa hatari na kujifunza kwa kile kilichowakumba Nokia kwa kuchelewa ku-adopt mapema teknolojia ya android. Wamefanya vizuri kuchukua hatua mapema ktk hili, vinginevyo wangekuja kupoteza umaarufu sokoni siku za usoni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Watanipata wapi wakati naishi mbali wao [emoji1][emoji1][emoji1]
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Sometimes hili husababishwa na kuwa unapewa GB kadhaa kwenye kifurushi chako na hizo GB zikiisha speed ina drop inakuwa ya chini sana japo utaendelea kupata Internet. Mara nyingi hairuhusu hata kudownload. Wao wakiwa wanakuuzia watakuambia ni unlimited ila kuna kiasi fulani cha GB ukishatumia...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Shukrani mkuu, nimefanikiwa nakula free internet hapa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Algeria kuchagua Rais wa mpito

    Bunge la Algeria linatarajia kuchagua Rais wa mpito wa nchi hiyo, kufuatia kujiuzulu kwa Rais Abdelaziz Bouteflika akiwa na umri wa miaka 82. Bouteflika alifikia uamuzi wa kujiuzulu kufuatia shinikizo la Jeshi la Algeria pamoja na maandamano ya siku kadhaa yaliyofanywa na Raia wa nchi hiyo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kigoma kujenga vizuizi kuzuia magari kugonga treni

    Kigoma. Katika kudhibiti ajali katika maeneo ambayo barabara imepishana na reli, Serikali imesema itahakikisha inajenga vizuizi katika maeneo hayo ili magari yawe yanasimama wakati treni ikipita. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Juni 8, 2018 na mkuu wa wilaya ya Kigoma, Samson Anga ikiwa zimepita...
  9. K

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

    Wawe na subira tuu. Mambo yakiiva nitawajuza
  10. K

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

    Tayari mkuu, kaangalie tena
  11. K

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

    Nitawahiwa, vumilia tuu nitakuwekea orodha
  12. K

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

    Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali. Kikubwa tuwe makini na vyuo vya uchochoroni maana sasa hivi ni rungu tuu. Orodha kamili ya vyuo, hii hapa;
  13. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Baba amuua mwanaye baada ya kugoma kwenda shule

    Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Pader, nchini Uganda, linamshikiliwa Bwana Omony Odokonyero (30) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanae mwenye umri wa miaka saba kilichotokana na kuchapwa fimbo. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor limeripoti leo Juni 7 2018, katika kijiji cha Omakigira...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Suala la mshahara ni siri ya mtu. Siyo lazima litangazwe hadharani

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi kuwa suala la kutangaza nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma hadharani husababisha athari kwa jamii nzima na kwa wale ambao siyo watumishi. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwa bungeni kwenye kipindi cha...
Back
Top Bottom