Recent content by kirabe

  1. kirabe

    JamiiForums Tanzania Sauti Sol wamekubali kujiunga Freemasons?

    Yaani kusema kuzimu watu wanaenda na standard Gauge [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. kirabe

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hakuna maana kusajili mtu wakuja kujaribu kama ataweza, unasajili mtu wa uhakika kiufupi mtu amesha onyesha kudumu kwenye kiwango kwa misimu kadhaa. Vijana wakujaribu wapo wengi kwenye academy yetu tunaweza wapandisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kirabe

    JamiiForums Tanzania Afisa wa TAKUKURU amuua mchumba wake kwa risasi baada ya kumkatalia ndoa licha ya kumsomesha

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], jamaa kaweka tatu
  4. kirabe

    JamiiForums Tanzania Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

    Itakua alikua anaongelea bulldozer Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kirabe

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    Upeo unaanza mtoto akiwa na umri gani? unataka kusema hao wanaoanzishwa, wanaanzishwa na mambo magumu?
  6. kirabe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Familia ya Ivan matatani kwa kufukia pesa ya Uganda

    Kaburi ni kibubu kwani?
  7. kirabe

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

    Itakua vita kati ya USA na Russia, sio vita ya dunia.
  8. kirabe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    Huo ni utamaduni tu, na ni kama heshima ya kiduniani huku
  9. kirabe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    usihukumu, maana kuhukumu si kazi ya mwanadamu
  10. kirabe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    segerea inakuita
  11. kirabe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Inabidi Jf mrahisishe hii kitu
  12. kirabe

    JamiiForums Tanzania Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

    makamanda wapya tunawakaribisha
  13. kirabe

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni viroba au wanywa viroba?

    dah hii idea ya biashara ni yakufanyia kazi
Back
Top Bottom