Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Kwa jinsi watanzania mlivyolaaniwa ,utasikia bashe siyo mtanzania...
 
Elezea pia impact yake kwenye chama pale ambapo wenye akili timamu wanapoamua kuondoka sababu mmeamua kuzoa makapi
Kama wameikosa demokrasia CCM wacha wakaitafute chadema. Anayetaka kuondoka ruksa ahamie CCM na yeye hafungwi mtu kamba
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Fisi aache mzoga,tangu lini ?!
 
Mhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.
Huyo si katibu wa Edo uwe mkweli
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Muda si mrfu watatayarishiwa mkutano wa kukabidhi kadi za chama cha kijani.
 
Waacheni wajiunge watoe siri za kule walikotoka
Hivi wana siri gani kuwashinda waliokuwa mawaziri wakuu sumaye na lowasa? mi ingawa si mfusi wa hivi vyama vya siasa lakini naamini si wote kati yao ni makapi. kuna wanaofaa na wakaleta changamoto na hivyo kuvifanyia mageuzi vyama vya upinzani vikaimarika.
 
Mimi pia nawashauri watakaotoka wasiende Chadema!
Mtu kama Bashe, Msukuma wakienda kwa zitto watafanikiwa sana, ni vema wakafanya hivyo!
Mkuu nia siyo wao wafanikiwe tu, pia vyama husika vifanikiwe na nchi pia ifanikiwe kupitia wao na vyama vyao
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Hiyo sio demokrasia, Mbowe wapokee tu waje maana hao ni watanzania waliokuwa wapo CCM kimaslahi tu ila ukweli wanaufahamu kuwa tanzaniainahitaji mawazo mapya
 
Wana haki ya kikatiba kuenda chama chochote mimi nadhani ungetoa msimamo kua msi wape uongozi kwanza mpaka wakijue chama na wajifunze itikad za chadema
 
Mhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.
Wewe ni ccm. watapokelewa na lowassa na sumaye na cdm kwa mikono 2
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Unampigia mbuzi gitaa. Hakuna atakayekusikia. Kama walimchukua mbwia bwimbwi Wema, unadhani wataacha kuwachukua hao?
 
Mhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.

Bashe mbeba mabegi ya hela chafu za kampeni za edo au yupi?[emoji304]
 
Back
Top Bottom